Maamuzi kwa sasa Tanganyika Ikulu Hatuna Uhuru wa Mahakama.Yellow stickers zinafanya kazi poleni mnayeamini Mahakama. Yangu zamani sikuwahi kuamini Mahakama. Rushwa ni kubwa mno kweli kabisa sijawahi amino Mahakama
Mahakama Inafanya Vizuri Tu Mpaka Sahv Imefashafunga Mafisadi Wengi Sna Yule Bunge Wakilombero Yule Diwani Wa Musoma,mwenyekiti Wa Cdm Mtwara Na Wengne Inawashikilia Akina Lema Gerezani,soon Tutakuwa Na Tanzania Ya Viwanda Na Ajira Na Neema Teletele
Tatizo ni sisi wananchi watanzania kuwa mazuzu,hivi kweli tunashindwa kuandamana kukataa uovu kama huu wa kuwaweka watu gerezani wakati mshitaki hana ushahidi,tuamka tukatae udikteta na uvunjwaji katiba tuandamane maandamano yasiyo na kikomo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.