Recent content by shibwe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee ninayeweza kumpa kura yangu kutoka CCM ni Jaji Warioba

    Kiongozi we mkweli
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Elimu aliyoisoma Mh. S. Kawambwa haikidhi matakwa ya elimu bora

    Nachojua elimu nchi tz inapuzwa,inakejeriwa ikuluni,magengeni,sokoni,bungeni,vyuoni na hata kwenye vikao vya vyama.wizara nyeti kama elimu huwezi kumkabidhi mtu dhaifu na legelege na asie makini km.kawambwa ukategemea elimu bora.brn nichanzo cha mafungu ya madeo na maofisa elimu.walimu njaa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jina UKAWA halina mantiki nje ya Katiba Mpya

    Kwakuwa viongozi wa ukawa hukuwataftia jina ukawa.jina lingne watatoa wao.endelea kukalisha nye....
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    UMESAHAU NI MWIZI NA ANAUA WANAOMKOSOA ATAKAPO KUIBA.kweli EL anafaa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Mhaini namba moja - Mbunge toka Zanzibar!

    Mwana+hamisi=chizi wa kutumiwa kama mpira wa...... Kisha kupewe.kirefu chake ni mwehu wa nane nane hana misingi akilini
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa

    We rudi darasani ukajuzwe uhusiano uliopo kati ya siasa na vyama vya siasa pia siasa na maendeleo.acha kutumiwa kama kalai orofani utakuwa huru
  7. S

    JamiiForums Tanzania Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    Dkt.diallo uchu wa madaraka utamtesa sana.ubaguzi na ukabila ulitesa 2010 na utaendelea kumtafuna
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye rais Kikwete afunguka ya moyoni kwa kusema ahadi zake hazitekelezeki mpaka kufikia 2015

    Watz kwan hatuifahamu ccm? Mkwele aliahidi yaliyomo kwenye ilani ya ccm.kosa n kuiluhsu ccm kuwa madaraka km watz wangeinyma kura kikwete angekuwa kijiweni nacc 2ngekuwa 2nakula bata.mwakani tsiangshane kznyma kura ahadi za uongo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tuseme kweli: Kati ya Lissu na Mwigulu, nani mwenye heshima mbele ya wananchi?

    Mimi nadhani mwigulu ni gaidi na lisu ni gwiji wa sheria
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sitta yamemkuta...

    Mroho wa madaraka,mnafiki anachosema hafanyi hafai huyo mccj
  11. S

    JamiiForums Tanzania Getrude Mongella amvaa Rais Kikwete

    mkiwa wakame bila vyeo mnakuwa na kelele mkiwa madarakani mnakuwa wakimya na wapole.hama chama cha intalahamwe ccm kama unautaka ubunge.shida yake mama g. ni ubunge
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba hana 'bifu' na mtu

    Mungu amtie nguvu,baraka,hekima na hata kuendelea kumpa kwa kumuongeza weledi jaji warioba.hakika utaendelea kuheshimika ktk nchi hii ya tanganyika.bakiwa kutukuzwa,kusifiwa,kuheshimiwa na hata kuenziwa kupitia msimamo wako juu ya kuipenda nchi hii ya tanganyika.uzalendo wako hakika una htajika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu wa kugombea 2015 uko palepale kwa chama changu

    Kamanda ninakutakia kila la kheri.na mimi na jipanga jimbo la ileje cdm 2o15
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanafanya kampeni kwenye nyumba za Ibada

    Huko ni kutmiwa.huyo afisa amuulize bashe na mpesya walitiwa km mpira wa....
  15. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA watatu wasekwa rumande - MBINGA

    Kamanda mm natoa pole na hongera kwa mapambano.ushindi niwetu
Back
Top Bottom