mandago shululu
Senior Member
- Mar 24, 2013
- 125
- 37
Kama nilivyotangaza kwenye vyombo vya habari mwaka jana kwamba,nia yangu ya kugombe ubunge jimbo la kwimba uko palepale wala hakuna wa kunibadilisha mawazo yangu.Chadema bado ni chama imala sana wala hakuna wa kutubabaisha na kinaelekea kwenye ukombozi wa Taifa letu la Tanzania.
*Mandago 2015 kwimba*
*Mandago 2015 kwimba*