Viongozi wa CHADEMA watatu wasekwa rumande - MBINGA

Viongozi wa CHADEMA watatu wasekwa rumande - MBINGA

Kamanda mm natoa pole na hongera kwa mapambano.ushindi niwetu
 
maajabu ya dunia yapo Tanzania, mwizi wa mali za umma anaachwa afanye atakavyo wakati anayehoji kuhusu ubadhirifu anawekwa ndani, itafika mahali tutalazimishwa kutembea na vichwa badala ya miguu
 
Back
Top Bottom