Recent content by shetani aka shetty baby

  1. shetani aka shetty baby

    Love me the way I am

    Umetendwa Tayari
  2. shetani aka shetty baby

    Mnaotumia WhatsApp gb Vs mnaotumia WhatsApp ya kawaida

    Kwa nn umepigilia msumari mkuu Ina matatizo Gani GB Whatsapp
  3. shetani aka shetty baby

    Kipi kianze, kujenga nyumba au kununua gari la kutembelea?

    Niko bunju Mkuu njoo tule kiti moto. Mimi nyumba ndio kila kitu ten animeweka geti rangi nyekundu na lama ya ☠️ na maneno HATARI. Eliud Bunju UMUGHAKA
  4. shetani aka shetty baby

    Mnaotumia WhatsApp gb Vs mnaotumia WhatsApp ya kawaida

    WhatsApp GB ukitaka kuipakua kwenye play store unaambulia patupu. Lkn pia uki restore mabo hayarudi Tena.
  5. shetani aka shetty baby

    Mnaotumia WhatsApp gb Vs mnaotumia WhatsApp ya kawaida

    WhatsApp GB si rahisi kuipakua. Inahitaji proffessional. Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa. Feature ipi nyingine wadau tupia hapa
  6. shetani aka shetty baby

    Kipi kianze, kujenga nyumba au kununua gari la kutembelea?

    Nilikopaga 20Million enzi za ujana nikala Bata nakumbuka Sana ule uchafu. Niliwasiliana na mademu wa4 nikapige 3some, mmoja akagoma, nikamchukulia chumba chake... Nikika huko nahamia huku. Ilikuwa Raha Sana..... Nilitumia laki kwasiku Moja ilikuwakawa sana Ilikuwa inaitwa Bata batani
  7. shetani aka shetty baby

    Kipi kianze, kujenga nyumba au kununua gari la kutembelea?

    Bado kiwanja kipo najenga Tena. Shida Iko wapi. Kuna nyumba za kupanga hata wenye nyumba hawaruhusu upuuzi wa kupaki gari humo . Parking ni CCM huko
  8. shetani aka shetty baby

    FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

    Imetokea kifupi ni kwamba mm ni mZaliwa wa KMC
  9. shetani aka shetty baby

    Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

    Alivyofariki tu mapapa yakaanza kunsumbua Hadi Leo Niko taabani Yaani Hakuna haki.... mahakamani ndio usiseme
Back
Top Bottom