Recent content by Sheriff Rango

  1. Sheriff Rango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta wakuu

    Mkuu Mitatu yote iyoo , Me nililiamsha dude baada ya miezi 2 tuu na mpaka sasa hakuna nouuma wala nini ..hapo inakupunguzia kumletea mtoto manuksi ya michepuko coz unashiliki na mama ake , kiimani na kiafya sio nzuli sana kushiliki nje then unarudi home na kuwashika mtoto na mama ake na mda huo...
  2. Sheriff Rango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: wanaume wenzangu mnafanyaje fanyaje mpaka mnafika kilele haraka wakati Wa tendo?!!

    hujui hata unacho criticize mzee ..
  3. Sheriff Rango

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: wanaume wenzangu mnafanyaje fanyaje mpaka mnafika kilele haraka wakati Wa tendo?!!

    asee pole sana mkuu ..kama ni kweli nakuelewa unachokipitia mana kuna wakati iyo hali ilinitesa kimtindo
  4. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Wanawake mtatuua na hizi michezo za siri

    akaushe tuu asifanye ivo
  5. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Wale Tulisoma Advanced kwenye Shule za Technical

    Ambonisye ..
  6. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

    nyuki the savior ..
  7. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 3 nifanye biashara gani? Nilikuwa nakopesha vyombo, wakopaji wasumbufu kulipa

    me nakushauli fanya biashara ya vitu vya kike ndio vinatoka sana ..cha muhim ni pata location nzuli ambapo kuna watu wengi na pia deal na bidhaa za watu wa hali ya kawaida then ukikua unaweza chagua wewe mwenyewe zaidi , ila bidhaa za kiume kausha kwanza mana apaa nina aproach mwaka kasoro na...
  8. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Tumia asali original kupunguza makali ya macho mekundu

    mkuu majani ya chai hayahaya ya dukani au ?? ..au Yale majani ya mchaichai ??
  9. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Kitovu cha mtoto kimegoma kurudi katika hali ya kawaida ..

    swala la kufunga na kupona ni kikosawa kabisa , changamoto ni huo uvimbe tuu ..shukrani sana kwa ushauri
  10. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Kitovu cha mtoto kimegoma kurudi katika hali ya kawaida ..

    ooh kumbe ..ugeni wa haya mambo ndio mana nikapata wasiwasi
  11. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Kitovu cha mtoto kimegoma kurudi katika hali ya kawaida ..

    sawa mkuu ..mama ake anadai alikitupa kwenye eneo linalotupwa takataka bila ya kuonekana na mtu
  12. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Kitovu cha mtoto kimegoma kurudi katika hali ya kawaida ..

    asante ndugu .. Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
  13. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Kitovu cha mtoto kimegoma kurudi katika hali ya kawaida ..

    shukrani sana mkuu .. Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
  14. Sheriff Rango

    JamiiForums Tanzania Kitovu cha mtoto kimegoma kurudi katika hali ya kawaida ..

    mkuu shukrani sana kwa msaada huu ..na nina maswali kidogo ; a) Hii issue sio kwamba inatokana pia na huko hospital mda ambao mtoto amezaliwa sasa yule anaemkata na kufunga kitovu labda anakua hajakifunga au kukikata katika kipimo kinachotakiwa ..maana Bibi zake na ndugu wengine wanadai...
Back
Top Bottom