Recent content by sherida

  1. sherida

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kusafisha masofa

    Habari zenu wakuu naombeni anayeweza kunielekeza dawa ya kusafisha sofa za kitambaa .Nasikia kariakoo zipo Ila ndio sijui nikienda ntaulizia je na jina lake silijui,na he tuitumiaje. Ntashukuru kwa msaada wenu
  2. sherida

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku install Netflix kwenye Red mi7

    Ok
  3. sherida

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku install Netflix kwenye Red mi7

    Asante mkuu
  4. sherida

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku install Netflix kwenye Red mi7

    Habari zenu wakuu naombeni Masada jinsi ya kui nstall Netflix kwenye simu yangu Aina ya Red mi 7 maana kila navyojaribu inatokea ujumbe your device isn't compatible with this version
  5. sherida

    JamiiForums Tanzania Aladin na taa ya ajabu

    Yes
  6. sherida

    JamiiForums Tanzania Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

    Umemaliza USHAURI MZURI MIMI NILIAJIRIWA 2006 HATUKULIPWA MSHAHAR MIEZI 6 ILA TULIPATA MTU AKATUELEKEZA TWENDE KWA AFISA ELIMU TUKAWA TUNAKOPESHWA KILA MWEZ ANAKUKOPESHA NUSU YA MSHAHAR WAKO MPK TULIVYOLIPWA TUKAKATWA
  7. sherida

    JamiiForums Tanzania Tumieni tango na limao kujifukiza hasa unaposikia homa

    Kama umeniona Niko hapa Nina homa sijawahi kuipata toka niwe na akili zangu toka asubuhi nimeshakunywa dawa karibia 10 kila ninayoekezwa,[emoji24]
  8. sherida

    JamiiForums Tanzania Mafao ya uzazi kwa wanachama wa psssf na uhamisho wa watumishi TAMISEMI

    Mimi nilijifungua January 2020 nimelipwa December 2020
  9. sherida

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu alianzakuota meno akiwa na miezi 3 lakini leo hii Ana miaka 7, lakini meno hayakutani ya juu na ya chini

    Njoo nimuuzie kwa bei nafuu nilinunua kwa ajili ya mwanangu wakamfungia ya juu Tu chini hawakumfungia nimebaki navyo
  10. sherida

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kufanya ngono mara nyingi?

    Kuhus mlemavu kama kuna ukweli Nina ushahid
  11. sherida

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

    Mimi Nina mwaka na Niko kwenye ndoa na wala sijali wala nini,,[emoji2][emoji2]
  12. sherida

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Habari zenu wakuu, Namshukuru Mungu mwezi January nilifanikiwa kujifungua salama baby Girl. Tatizo lilonileta kwenu baada ya miezi 3 nimeongezeka uzito kupita kawaida, uliopelekea kupata maumivu ya visigino nikisimama kwa muda na magoti nikichuchuma ulaji wangu ni WA kawaida Tu milo mitatu...
Back
Top Bottom