wanachama wa CCM, CHADEMA, ACT, pamoja na wanasiasa wote na vi
wanaCCM wote, CHADEMA, ACT, wanasiasa wote, viongozi wa dini zote, chungeni kauli zetu. soma kitabu hiki uone ndani namna gani kauli zilivyoponza wengi wakajikuta wanashitakiwa na mahakama za kimataifa. download it, na msome chote...