ICC hague

charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
437
126
nimejaribu kufuatilia hii kesi ya wakenya huko ICC na nimeshtushwa sana mijadala inayoendelea. ukilinganisha na awamu ya kwanza, hii defense team ya sasa inaonekana kuimarika sana. mfano kuna huyu Khan wakili wa Mudhaura na Kahoe wakili wa Ali. wanatoa cheche zinazo wafanya mpaka majaji wanaangua kicheko na wakati mwingine hata kumdhalilisha Ocampo. haya ndiyo waliosema jana..

Mr Francis Muthauras lawyer Karim Khan has been in combative form. At one point, he shot up to object to a statement by a member of the prosecution team with the retort: This is not LA Law or Buenos Aires Law! That was a reference to the popular TV legal drama series while the second referred to chief prosecutor Luis Moreno-Ocampos hometown.

Mr Kehoes submissions on day one were so blunt and aggressive that at one point members of the registry and other lawyers within the courtroom could not contain themselves and burst out laughing.

The lawyer submitted that a prosecution witness could not be relied on because, he claimed, he had changed his testimony a number of times and might be one of those fellows whose memory improves over time.

Je, yawezekana hii ni mbinu za mawakili? je kuna uwezekano wakushinda hii kesi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom