Recent content by Shepherd

  1. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Je unafikiri hakuna mizigo ya kurudisha dar jibu ni hapana mizigo ipo hofu tu.Kungekuwa hakuna mizigo isingekuwepo.
  2. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Tangu enzi za enzi usafiri wa Train ya Abiria na.Mizugo ilikuwepo kaskazini uliza hata wazee wa 1950's watakuambia.Mabaus na Malori ndio yalififisha reli hiyo,kama isengukuwa na umuhimu mkoloni asingeiweka.
  3. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Wakati tunakuwa Arusha kulikuwa na treni ya mizigo na mafuta malori ndio yalififisha utendaji wake
  4. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Mlioezeka paa contemporary mvua zimeanza hali ikoje kwako?

    Toboeni kishimo yatoke nje.
  5. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Asante sana.
  6. Shepherd

    JamiiForums Tanzania MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    Your justification is based on which ground?
  7. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Vodacomm ipo down kabisa hila tigo ipo.
  8. Shepherd

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mhindi tapeli wa viwanja Kigamboni, anataka kutapeli wananchi kwa kutumia makampuni hewa 4

    Ifike mahali mashtaka yakiletwa hapa jamii forum tupate na upande wa pili wa mtuhumiwa.Alafu tuwachie wenye mamlaka wafanye maamuzi.
  9. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

    Hiyo ndio daladala mpaka leo zipo
  10. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki laanzisha bima yake ya afya kwa ajili ya waumini wao baada ya kuona wanahangaika

    Hata wao kuna siku wataitwa wastaafu.
  11. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

    Aisee poleni
  12. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Hapa unatiwa moyo na kukatishwa tamaa kwa pamoja.Vyovyote vile wewe ndio mwenye uamuzi wa mwisho.
  13. Shepherd

    JamiiForums Tanzania Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

    Sasa wamewapeleka
Back
Top Bottom