Recent content by Shenazi

  1. Shenazi

    Kama una mgahawa, Hotel, Restaurant au Cafe....Mwanza au Dar niite nikupikie

    Kama kuna mtu anahitaji mdada kwa ajili ya kupika katika mgahawa, hotel, Restaurant au cafe nitafute. Napika chakula kitamu na chenye taste nzuri. Uwe Mwanza au Dar.
  2. Shenazi

    Natafuta kazi ya upishi Dar au Dodoma

    Wazima nahitaji kazi ya upishi wa vyakula katika ofisi, restaurants au sehemu yoyote, nafahamu kupika vyakula mbalimbali vya kila aina na vyenye ladha nzuri sana. Naweza kufanya kazi Dar au Dodoma atakayenihitaji 0716 394882
  3. Shenazi

    Piga kura kwa member wa KIUME anayekuvutia kwa michango yake humu Jf, kuhesabu kura ni tarehe 10 saa 6 usiku.

    Mambo zenu. Leo nataka tu-chitchat kiaina ingine kabisa. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura member yeyote wa KIUME humu Jf ambae anakuvutia kwa post zake, ushauri wake, swaga zake, ambush zake, mikato yake, vurugu zake, mawazo yake na kingine chochote kutoka kwake. Mwisho wa siku yaani...
  4. Shenazi

    Picha: Utaamini kuwa mwanamke huyu ni roboti?

    Asante mpendwa. Amiin
  5. Shenazi

    Picha: Utaamini kuwa mwanamke huyu ni roboti?

    Kabisa. Huyu ni wa kumfungia ndani tu.
  6. Shenazi

    Picha: Utaamini kuwa mwanamke huyu ni roboti?

    Amgekuwa huyu kaka yuko Tz, ningeomba anitengenezee mume wangu mwenyewe
  7. Shenazi

    Tips to Ladies: Kuzaa sio mwisho wa urembo

    Habari tena kwa mara nyingine Ladies....Nyie ndo mnaoongoza kuumia mioyo inabidi tu msaidiwe kujua how Men are...kuna vitu vingine mwanaume hawezi kusema lakini moyoni vimeshapigiwa mstari kitambo.. Kwa wale ambao bado hamjazaa na hata wale ambao sasa ni wajawazito...Na wewe mwenye watoto au...
  8. Shenazi

    Walimu waamua kuolewa ili kupata uhamisho kirahisi

    Umeona eeeee watupishe sie. CC: Kim nana, Mimi mwenyewe, Evelyn Salt, snowhite na gfsonwin. Tukiamua kuhama tunahamisha tu majeshi.
  9. Shenazi

    Happy Birthday bestito Valentine mwaaa!

    Mie mlinitoa kwa chuki zenu binafsi
  10. Shenazi

    Happy Birthday bestito Valentine mwaaa!

    Happy birthday my shouga.... Tutakutana kule kwetu mpendwa ili niku-wish vizuri
  11. Shenazi

    Wanaume humu JF be serious jamani, mkitaka mahusiano nasi muwe wazi, tumechoka kutapeliwa mapenzi

    Naja kwa ID hii hii mpya mpaka kieleweke. Mahusiano ni jambo jema sana, ila sasa kuna wale wa 'kuchonya', karibia ID zangu zote nakutana nawe PM halafu maneno yaleyale, hebu kuwa mbunifu kaka. Kama unataka a one night stand muwe mnasema, mbona hakuna jipya nyuma ya keyboard? Matapeli ya...
  12. Shenazi

    Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Usiwe kama basha anayejifunza. Sio lazima kuchangia kila kiti
  13. Shenazi

    Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Amina. Ila mwisho wa yote, mwenye uamuzi ni mimi pekee. Asanteni kwa mawazo na ushauri wenu
  14. Shenazi

    Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Hahahahah.....naona mlio na matasa na wagumba katika koo zenu mnanionea gereeee. Ndo nishaandikiwa hivo
Back
Top Bottom