Recent content by SHEMGUNGA

  1. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    mwacheni raisi afanye maamuzi yake msimchanganye
  2. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania Ndugai, kufanya kosa siyo kosa bali kurudia kosa

    Yaani bado Kuna watu wanamtetea ndingai,Pole Pole gwajima,yaani kwa maneno yao ya shobo wakazani hii nchi Ni yao hawafai hata kuzungumzwa
  3. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania CCM imepasuka vipande viwili, nchi inapita kipindi kigumu kuliko wakati wowote. Wastaafu liokoeni Taifa

    Huu mpira hauna mwisho naona refarii anaweza ingia mitini yangu macho
  4. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni shujaa anayepigana na walio hai

    Hakuna was kumtetea tena tumeshaelewa
  5. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania Jinsi Freeman Mbowe alivyofanyiwa umafia ndani ya nchi yake

    Duuu huuu n zaidi ya unyama
  6. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

    Tuliopo korogwe tunafahamu ukweli ila hatusemi wee endelea kulopoka
  7. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Ningelock miji yenye maambukiz kwa wingi
  8. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu: Mimi ni namba 2 Tanzania, sina cha kunishawishi kuwania namba 3

    Duuuu ni kweli lakin inauma
  9. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema awataka IGP na Mwigulu Nchemba wakauze maandaazi

    tupo hapa ila IPO siku anayepinga maneno ya lema yatamkuta alishasema nape yamemkuta
  10. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Spika Ndugai aeleza sababu ya kiongozi wa upinzani bungeni kutokuwa na gari lake

    ila mungu yupo IPO siku wataumbuka
  11. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania Atakayejaribu kuharibu amani yetu ni heri atangulie akatuandalie makazi ya milele

    stori yako imekaa kisiasa sana na kutisha watu kabla ya kuandika unatakiwa utafakari na kuelewa unacho manisha
  12. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania CAG mstaafu Uttoh amesema si sawa mawaziri kujibu hoja za Ripoti ya ukaguzi wa CAG

    tutaona mengi mpaka 2020 duuuuuu
  13. SHEMGUNGA

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa aomba radhi kwa kumdhalilisha; asema tukio limechukuliwa kisiasa na sasa anakosa amani

    mungu atuweke hai tuona baada ya miaka kumi ijayoo ya huyu dab
Back
Top Bottom