Recent content by Shemasi mkuu

  1. S

    Waliotengeza Siri ya Mtungi kwanini tusiwaombe watufundishe kutengeneza sinema?

    soko la sanaa kwa bongo ni gumu sana, kifupi halirudishi pesa ya uwekezaji ila watu wenye uwezo wa kufanya kazi bora na kwa gharama kubwa wapo. Hizi movie za sasa waru wanasema wametumia 20M au zaidi ni uongo, wengi hawafikii hizo gharama ndio maana movie zao mbaya, hazina timu ya kutosha...
  2. S

    Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    kwa maana hiyo chief... ni halali ku download movie yenye 7gb siku nzima? maana natumia torrent hiz za kawaida tu... galaxy torrent nk.. movie ya 700mb inachukua kama nusu saa hivi na ni 720p kwa 1080p Nilikia nadhani labda speed ni ndogo sana, nikawa natafuta namna ya kupata huduma kutoka...
  3. S

    Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    baadae nikiingia ofisin nitachek...maana kuna app nilikua narumia kuchek speed inanipa downloading speed 8mbps uploading speed 1.8-2.4mbps ping inafika 30 something
  4. S

    Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    ndugu yangu nilisubir hili jibu lakin nilichelewa mno.. sasa hiv nilipata kampuni flan wakanifanyia installation yao kwa 250k..... tatizo naona speed ya kudownload ni ndogo... nikishusha movie yenye 5gb inachukua siku nzima kumaliza
  5. S

    Pombe sio chai: Matukio na vituko vyangu /wanangu wakishalewa pombe

    nilikua na mshikaji wangu huyo, yani akilewa tu hamlali anataka awasimulie jinsi rafiki yake aliuliwa.... usiku mzima ni stori na mtacheka sanaaaa hana vurugu kabisa... ila kuna jamaa mmoja kitaa hapa yeye akishagongelea mvinyo kwa kichwa ni mwendo wa vifungu vya biblia na matusi juu...
  6. S

    Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    Wakuu naona mmenipotezea kabisa na nimeomba baadhi ya taarifa kwenye komenti yangu ya awali..... hii sio fare kabisa wana jamviii😔😔😔😔😔
  7. S

    Huyu dada leo kanichana ukweli

    kisayansi... hii nilisikia mahali wataalamu wakishusha nondo... mwili huwa katika utayari na mambo mapya na hivyo kuachana na mambo inayoyajua ama iliyoyazoea. Vivyohivyo kwa pua, hua katika utayari wa kugundua harufu mpya na kuipuuzia ile iliyozoeleka ndio maana harufu yako mwenyewe huisikii...
  8. S

    Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    naomba kupata utaratibu wa kupata hii home internet maana awali niliambiwa nilipie miezi miwili tu installation ni free kwa upande wa voda, lakini ghafla naambiwa tangu february mambo yamebadilika kuwa ni lazima ninunue router na nilipie installation fee. Gharama zimefika zaid ya 600k na baget...
  9. S

    Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    wataalamu wa siasa za kikanda... embu nisaidieni kuelewa... ni nini hasa kilisababisha na kinaendelea kusababisha zanzibar isiwe mkoa na nchi ikawa moja completely?
  10. S

    Toka 2000 CCM imebadili Wenyeviti mara 4, CDM na CUF hakuna

    nilitamani katiba mpya itamke wazi idadi ya vyama vya siasa nchini yaani iwe 3 tu au mbili. Hii ingesaidia kujenga vyama vyenye nguvu kitaasisi kuliko ilivyosasa ambapo vyama vingi vya upinzani vinajengwa kwa nguvu ya umaarufu ya mwanzilishi. Mfano bwana zubery baada ya msigano akaanzisha chama...
  11. S

    Je, naweza kuanza ujenzi nikiwa hivi?

    mawazo yangu binafsi juu kwa fact.. tutasema ufanyebiashara kwanza ukuze kipato ndio uanze ujenzi.. nakukumbusha tu kuwa makini na biashara unayotaka kufanya maana biashara ni zaidi ya kuajiriwa pia ni zaidi ya maono (imaginations) uliyonayo. Unaweza waza juu ya biashara fulani ukaona kabisa...
  12. S

    Waziri Mwingulu: Miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi

    huu ni udhaifu mkubwa sana kwa nafasi aliyonayo... kila siku mnakuja na vyanzo vipya vya mapato huku mkiwaumiza wananchi na mnajua fika walipa kodi ni wachache. Pambaneni kila mtu alioe kodi kikamilifu kama inavyotakiwa ili taifa zima likilia nafikir sera za kodi zitaboreshwa na hivyo kuweza...
  13. S

    Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    huo uongo unatupa shaka juu ya zile taarifa zingine anazotoa. Kama hapa tumegundua kaongopea taifa (kwa mfano yani) sasa je zile taarifa za mikopo nafuu na madeni, tunahakika gani kweli ni mikopo nafuu? Serikali haipaswi kutoa taarifa ya uongo kwa namna yeyote ile, je alikua anaficha nini...
  14. S

    Feminist huoana, wife material huolewa. Je, unaoa/kuolewa au mnaoana?

    mambo mengine na sisi wanaume tunayasababisha.. yaan mtu anamvisha pete mwanamke halafu anapiga goti.. sasa sijui anataka nini.. sisi mashemasi wa enzi na enzi tunajua pale ni sawa na kukubali kukaa chini ya mamlaka ya mwanamke.. ewe mwanamke kamwe usije ukakubali mwanaume akupigie magoti kwa...
Back
Top Bottom