Sasa ninyi mnachanganya mada. Je huyo mhubiri alikuwa ana-cite maandiko yoyote? Au alikuwa akirejelea usuri wa anachofundisha? Huwezi fundisha msamaha bila kumtaja Yesu. Vingine ni ushenzi mtupu!
Achana na jeshi kijana. Ina maana mpaka hapo ulipo ulikuwa bado huna ndoto? Pole sana. Ukupigiwa simu na TRA?Utaenda? Ukipigiwa sm na TANAPA utaenda? Kaa na ndoto zako ndo ufanikiwe. Tatzo wazaz hatuwalei watoto wetu kujua ndoto zao. Wanatangatanga tu. Mara jeshi, mara chuo, mara uraiani...
Wewe ni wale wale. Unajuaje adha hizi? Yamkinika umeishi dar na ukafilisika.
Mtu mwenye malengo Dar anafaidika sana sana. Fursa ni kama hizi
1. Vibarua kwa wingi
2. Ajira maofisini kibao kwa wenye elimu
3. Huduma za jamii. Mfn mahospital makubwa yote yako Dar. Mfn Mhimbili-ambapo pana mochwari...
Hapana. Labda alirushwa darasa. Alikuwa na akili saaaana. Hakusoma darasa la 4,5,6 na 7. Pia hakusoma miaka 4 bali 3 aliruka form 1 kwa sababu ya akili zake. Msione wiiiiivu. Intel
Hapana! Tusifike huko. Hata wewe unaweza kukosea kuhesabu kura popote pale. Mf. Kuna wakati hata kanisani tunakosea kuhesabu kura kwa sababu ya kujichanganya. Sasa ukimlaumu Sita ni tatizo lako ndg.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.