Tumjue kiundani Nabii Michael Leshu

Tumjue kiundani Nabii Michael Leshu

Sijui kwa nini, wanawake ndo huwa wanakuwa wengi kuliko wanaume.

Siwezi muhukumu kuwa ni mwongo, maana mimi sina mamlaka ya kuhukumu, wahehe wanasemaga 'sambi sako mwenyewe'.
 
image.tiff
 
Hapana wazee mama zetu wametokomea huko tungependa kumjua kwa kina labda familia nyingine watujuze
 
sio wewe mwenyewe kweli??

Mods, mtumieni huyu jamaa invoice kwa hili tangazo lake.

We jamaa mbona una tabia ya kudivert mada na kumbandika uhusika mtoa post??? nimekuona sana kwenye post kadhaa, comment zako ni zilezile "sio ww mwenyewe kweli". Una tatizo la kryptachronicunnalitcy.
 
We jamaa mbona una tabia ya kudivert mada na kumbandika uhusika mtoa post??? nimekuona sana kwenye post kadhaa, comment zako ni zilezile "sio ww mwenyewe kweli". Una tatizo la kryptachronicunnalitcy.

Hilo ndio tatizo gani?
 
Haha mie hata sijui bali lakini nasikia yeye akiangalia picha tu anakusoma fasta ..... mhhhhh wamama wengi mjini ndo wafuasi wake

Watu wa namna hii wana vipaji vya kuongea. Hitler alikuwa na kipaji kama hicho (Orator) na ujuzi wa kubadili sauti toka ya chini hadi kuwa sauti kubwa ya juu. Kwa kitumia ujanja huu wafuasi nao huanza kulia kwa taratibu na baadae kilio chao hiki hupanda kwa sauti ya juu zaidi kwa kufuatisha kiongozi wao. Kwa kawaida wengi wa wafuasi huwa kinamama. Hata wakati wa Hitler wengi wa wafuasi wengi walikuwa kinamama (soma "The rise and fall of the Third Reich")
 
Jamani waungwana mtujuze kivizuri kuhusu huyu nabii Michael Leshu mwenye kanisa kimara ndani ndani linaloitwa maranatha paraclate.... Inavyosemekani ni NABII anayeweza kutibu mapepo na kuondoa laana katika familia, pia anatabiri maisha yako na wale wachawi wot... hiii ni ukweli??? Kama mtu anajua chochote kuhusu yeye atiririke hapa. Asanteni
View attachment 194155:target:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom