Recent content by Sheeba2

  1. Sheeba2

    Wanawake wamekuwa warahisi sana siku hizi

    Wanawake hoyee Ndo maana hamuishi kuwajadili U can't survive without them
  2. Sheeba2

    Naomba msaada: Natafuta soko la tangawizi

    Kuna group la kinyani kibichi Tanzania hua wana saidia Sana wakulima Kwa soko mpk nje ya nchi labda Kama ingewezekana kuipata namba yako uunganishwe nao hapo kila kitu kinge kua solved
  3. Sheeba2

    Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

    Wanadai Ndio Iraq Na Iran
  4. Sheeba2

    Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

    Ngoja nisaidie kuelezea kidogo Kwa ufahamu kidogo nilio nao kwenye Hii knowledge Mke wa Lutu alikaidi amri ya Mungu Ndio maana akageuzwa kua nguzo ya chumvi sababu alikua miongoni mwa hao wana sodoma Na Mungu alijua Ndio maana akasema usiangalie nyuma hata Safari ya wana wa Israel wale walio...
  5. Sheeba2

    Mke wangu mtarajiwa soma hapa

    I think you are Fantasizing hero on how u want to be a hero and yet u are still a cowed
  6. Sheeba2

    TEMEKE, DAR: Mjane aangua kilio hospitali baada ya kujifungua mapacha 4, asema hawezi kuwalea

    Sasa mjane si atunzwe Na alie mzalisha au Mume alifariki akiwa mja mzito
  7. Sheeba2

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hii kitu inataka umakini kusoma Na kuhesabu safi Sana inakutoa uvivu wa kubweteka Hii lazima uwe smart Kama wenzetu
  8. Sheeba2

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kuna kitu wanasema huwezi kufanikiwa bila kujaribu kutaka kufanikiwa Na kua Na Imani ya kupata mafanikio big up Sana kwanza Kwa kutumia mda wako kuandika Hii Safari ya mafanikio yako pili kua Na hamu tam wenzako pia wapate kufanikiwa kiuchumi ni wachache Sana wenye moyo huo Ila Sasa hiyo offer...
  9. Sheeba2

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Hii Ni siri kubwa Sana kwenye secret societ tuna omba Elimu zaidi big up Sana
  10. Sheeba2

    Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Safi sana jamaa anazidi kupoteza Kura Za 2020
  11. Sheeba2

    SWALI CHOKONOZI: inawezekana Makonda zile mali anazotuhumiwa "kamshikia" mtu?

    Kila mwanzo una mwisho kifo cha nyani kila mti unateleza!!!!
  12. Sheeba2

    Usipomuachia mwanamke alama hizi ujue si wako sikuzote

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom