inatumika jumlisha but hakikisha zote ni namba.
+ kwenye javascript ina kazi mbili, ya kwanza ni addition, ya pili ni string concatenation.
Hivyo ukitumia namba na +, zitajumlishwa, ila ukitumia strings, au ukichanganya namba na strings, zitafanyiwa concatenation