mhshemdoe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 363
- 531
Hello Coders!
Nahitaji kuanza mafunzo ya Java Programming (self study) huku lengo kuu likiwa ni kujikita zaidi katika upande wa Mobile Apps development.
Naomba Suggestions zenu, hasa za vitabu vya Core java maana sihitaji kuingia moja kwa moja kusoma lugha yote bali ni kupata basics nzuri za Java.
Malengo yangu ya usomaji
Kwa research ndogo niliyoifanya nimeona nianze na:
1. Kujifunza kwanza basics za java: Hapa nina mda wa wiki mbili
2.Kusoma Topics za Java zihusianazo na Apps dvt. hasa Androids: Hapa pia nitahitaji suggestions zenu. Nitatenga mda wa Mwezi mmoja kwa hizi Topic.
3. Kujifunza (theoretical and practical) Android Apps development: Hapa hata mda wa zaidi ya mwaka nitautumia.
PIA:
•Nina knowledge ya C (Semester moja chuo)
•Basic knowledge ya Python (self study)
•HTML na CSS (self study)
Msaada Kutoka kwenu
1. Mapendekezo yenu ya vitabu (E-books) kwa level yangu kama jinsi nilivyojielezea. ViBase kwenye Core Java
2. Mapendekezo yenu ya Topics za Java zihusianazo na Apps development.
Sent using Jamii Forums mobile app