Recent content by Shedy clever

  1. Shedy clever

    Nakupenda sana Shetani

    Hawazavyo mtu ndicho chake sasa angalia kua makini yakikukuta usilalamike
  2. Shedy clever

    Sehemu tano za kushangaza duniani

    Mbona Amna ata kimoja kati ya hivyo kipo kwenye Yale maajabu saba ya dunia japo yanashangazaa !!!
  3. Shedy clever

    Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

    Umeeleweka ila ulitakiwa ubadilishe kichwa cha Habari labda kiseme jinsi ya kuepukana na mambo mabaya
  4. Shedy clever

    Kesho yako ipo ndani ya herufi 5 au 7!

    Ushahidi mwingine Kuna madaktari katika hospital Flani nchini marekani walitengeneza Unga Unga sijiui ni wa ngano wakaeka na sukar kidogo ili ilete ladha wakawaaminisha wagonjwa kua ni kidonge yaani dawa wakinywa watapona na kweli walopona aisee Kuna nguvu kubwa sana kwenye Kuamini
  5. Shedy clever

    Illuminati and Freemasons

    Fremason wapo kweli ni watu waliofanikiwa kuufungua ulimwengu wa Tatu ule wenye miujiza sasa wao wanafanya kwa viwango haswa a mini usiaminii ukieza kuufungua uo ulimwengu wa Roho unaeza kua unachotaka kikubwa ni Imani yako tu Na Kuna key mbali mbali to za kufungulia huo mlango wengine wanaamini...
  6. Shedy clever

    Jinsi ya kupata kiasi cha pesa unachokihitaji kimiujiza

    Ulimwengu wa Tatu ni kweli upo jamani ukiweza kuufungua unakua kile unachotaka uko ndo Kuna miujiza ya kila namna Ata awa unaowaona wanamiujiza wameitoa huko muhimu ni kujua jinsi ya Kuufungua iyo milango Imani inahusika zaidi
  7. Shedy clever

    Nguvu ya saikolojia

    Fact sana somo la Saikolojia ni pana sana ukilifatilia kwa undani unatokea kwenye ule unaousikiaga unaitwa ulimwengu wa Roho uko ndo miujiza inakotokaga
  8. Shedy clever

    Line between life and death

    Wanaijua sema Kuna kua na kauvivu Flani hivi hasa ikiwa ni ndefu
  9. Shedy clever

    Line between life and death

    Aisee fact kama hizi kama Kuna uwezekano zilete kwa lugha ambayo kila mmoja ataielewa ili utamu huu usipite bure wengine ni wavivu wa kusoma hiyo lugha
  10. Shedy clever

    Time Heist and Time Apocalypse: Jinsi muda unavyoathiri Maisha ya ulimwengu na vilivyomo

    Vip kuhusu yule mchezaji wa Ajax aliezimia miaka miwili iliyopita akazinduka juzi apo kisayansi imekaaje Ile na je alieendelea kukua?
  11. Shedy clever

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Je unaeza kuona watu wengine huko Waliotoka kama wewe mkaongea na ata kwenda pamoja izo safari
  12. Shedy clever

    Unafahamu nguvu ya Wazo?

    Nimeipenda hiyo na nimejifunza kitu kikubwa sana
  13. Shedy clever

    Je, Bill Gates ni uzao wa shetani?

    Aisee huku ukiweka uzi ina bidi ujiandae na hoja za kutosha la sivyo itaonekana kama unahubiri tu maana wahubiri ndo awa ulizwagi maswali
Back
Top Bottom