Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,491
- 26,972
Umevamia jukwaa bwashee, jikite kwenye hoja intelligence huwa hatujadili kwa mipasho namna hii.... basi uko sahihi jipongeze sasa.
Suala la kusoma au kutokusoma Physics liweke pembeni na unaweza kusoma physics na ukawa KILAZA kama wewe ambaye unasema pameandikwa Wormhole ilihali ni Warmhole
Huo ni ushahidi kuwa hata Physics ulifeli kwasababu hata kusoma tu kilichoandikwa HUJUI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashazoea mada za ubishani wa dini huko.. kila kitu anataka kubisha sio kuelekezanaSioni hoja katika yote hayo unayokomalia kisa tu nimekuelekeza kuwa ni ‘wormhole’ na sio ‘warmhole’, nini lengo lako.?
The topic is by far beyond your comprehension, jifunze kusikiliza wakubwa wakiongea itakusaidia kuficha ujinga.
Ukihitaji ligi za mipasho tukutane kwenye majukwaa mengine sio hili, no wonder hujui maana ya intelligence.
Umevamia jukwaa bwashee, jikite kwenye hoja intelligence huwa hatujadili kwa mipasho namna hii.... basi uko sahihi jipongeze sasa.
Sioni hoja katika yote hayo unayokomalia kisa tu nimekuelekeza kuwa ni ‘wormhole’ na sio ‘warmhole’, nini lengo lako.?
The topic is by far beyond your comprehension, jifunze kusikiliza wakubwa wakiongea itakusaidia kuficha ujinga.
Ukihitaji ligi za mipasho tukutane kwenye majukwaa mengine sio hili, no wonder hujui maana ya intelligence.
Sawa,Kashazoea mada za ubishani wa dini huko.. kila kitu anataka kubisha sio kuelekezana
Wewe ndio umeanza kujikweza kuwa hoo mimi nimekiri kuwa sijasoma Physics...so hilarious dude...!
Nimekushangaa sana as u still proud uaself these days after opting Physics in O' level or Adv'...try to be patient coz hatujuani humu na hujui nimesoma nini
Being Academician, Intellectual person ni zaidi ya kusoma Physics, usijiproud na hii Physics yetu ya Bongo.
......,,......
Sent using Jamii Forums mobile app
Laakini mkuu muda ni Past,Present n Future. Hivyo vitu vitatu ndio vinaunda Time. Ndio maana kwenye Eternal Dimension hakuna muda maana hakuna vitu hivyo vitatu. Ipo present tu!Dhana ya muda ni pana sana.
Binafsi muda nautazama ktk namna ya space jinsi ilivyo kwa maana space is time!.. no space no time.
The way space still the way we are in time!
Kwangu nauelewa muda kuwa hauendi mbele wala haurudi nyuma!
Kinachotokea ni action!,jinsi unavyochukulia reaction kwenye space ndivyo ambavyo unaitumia so hivyo unavyoitumia ku reaction plus kumbukumbu ndio unaona muda una past na future!!
Namaanisha unazaliwa,unakuwa kijana unakuwa wa makamo na baadae mzee.. this is how your body use space to reaction.. and that we call it time.
Hauendi mbele wala haurudi nyuma time remain there..
Muda unaweza kuuelezea kwa concept nyingi mfano kwa kutumia jua na dunia kunavyokuwa usiku,mchana na asubuhi but what if we remove those things..??????
Je,hiyo itamaanisha pia kuwa muda haupo..?
My answer is no! Muda bado ungali upo hata ukitoa vyote hivyo maana space still there and space is time..
Ukitaka kuuzuru muda zuru space.
Nakubaliana na Einstein muda unaweza kuwa affected na gravity pia na speed..
Utata wangu ni sehemu ya kurudi nyuma ya muda..!
Sioni hatua yoyote unayoweza ichukua na ukarudi nyuma ya muda!
Kama ukiweza kurudi mwaka 2015 hii itamaanisha space inakuwa na historia ina record ama inakila taarifa juu ya kinachotokea!!
I mean ni kuwa kila kitu kimeshachorwa sasa ni tunapita tu!!
Hainingii akilini swala la kurudi nyuma ya muda!!
Ila la kwenda mbele ya muda naweza lielezea ktk mantiki hii mfano wa barafu..
Chukulia mfano huu unasamaki ambae ukimuweka ktk mazingira ya kawaida itachukua muda fulani huyo samaki mpaka kuharibika ila ukimuweka kwenye barafu ataweza kukaa kwa muda mwingi zaidi tofauti na akiwa ukawaida.. this is what I call it time travel na naielewa kushinda hizo concept za kusafiri kwa dk mbili na kutua mwaka 2059 huko 😂😂..
Ikiwezekana kumzimisha mtu leo na akaja zinduka miaka Mia ijayo hiyo ndio nitaiita time travel na ninaielewa kwa wepesi zaidi..
Hivyo ndivyo nielewavyo muda.
Kurudi nyuma ya muda namaanisha kutoka ktk present kwenda kwenye past!.. hivyohivyo unavyoelewa Wala si kutoka nje ya muda!.. ningekuwa namaanisha kutoka nje ya muda ningesema kutoka kwenye space!!Laakini mkuu muda ni Past,Present n Future. Hivyo vitu vitatu ndio vinaunda Time. Ndio maana kwenye Eternal Dimension hakuna muda maana hakuna vitu hivyo vitatu. Ipo present tu!
So huku duniani tunachifanya kwenye Time Travelling haturudi tuwe nyuma ya muda bali tunarudi kwenye wakati ambao uliopita au tunaenda kwenye wakati ambao haujawadia.. ila hatuendi nje ya muda. Wite lazima tuwe ndani ya muda ila inategemea muda huo ni past au future
Pamoja sana kiongozi...Shukran sana mkuu. Lolote ambalo mtu ndilo atakalo vuna, Nadhan tukipanda kwenye Time Travelling tutavuna Time travelling na kifo itakuwa story tu za kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Kulitokea mlipuko mkubwa huko angani"..... Kwa hiyo kumbe anga lilikuepo kabla ya The big BangUpande wa tafiti za kisayansi zinasema kua hapo zamani miaka billion kadhaa iliyopita kulitokea mlipuko mkubwa huko angani ambao wanauita The big Bang,
"Muda huwasaliana na Subconscious mind"..... Hizi facts ni research-based au evidence-based?mtu anapokaribia kufa muda ndio huwasiliana na subconscious mind, kisha S mind inaiambia nature kua muda umefika wa mtu huyu kuondoka..nature sasa itakachofanya itachagua aina ya kifo anachotaka muhusika aondoke nacho kutokana na mazingira
Kwani huo ni msemo wa watu au Biblia?Kuna wengine husema kua miaka 1000 duniani ni sawa na siku 1 hapa duniani, hicho kitu ni uongo uliotuka mbinguni hakuna Muda.
Dah mbona huheshimu mitazamo ya watu mkuu?Upuuzi mtupu, muda unafika subsconcious mind inaambia nature muda umefika alafu nature inaangalia njia ya kukuua. Hahaha upuuzi grade A, proof ya hii kitu mmetoa wapi? research ilifanyika lini? experiment nani alifanya? mnajitungia mambo ovyo mnaleta huku. Endelea kugeuza watu wawe stupid, sijasoma hata sehemu nyingine, nimeona hapo tuu nikajua yaliyobaki yote ni ushenzi