mimi ni kijana umri miaka 29 ni mchaga wa marangu nilikuwa mfanya-biashara mwanza nikafilisika now Sina kitu tena, na sijasoma nimeishia form 6 nilikuwa na maisha mazuri kiasi kiufupi nilijipata hadi gari nilinunua crown na ndo nililobaki nalo
naomba wapwa connection ya nyumba ya kukaa now...
Wapendwa habari aiseee mimi ni kijana wa miaka 29 nilikuwa mfanyakazi mwanza biashara ikaenda mrama mwezi wa pili mwaka huu.
Nilikuwa na hela safi za kujikimu lakini kila kitu kimeenda kombo, nimefilisika, now nimekuja Arusha nina week ya 2 sasa japo nimefikia kwa mtu naomba msaada wa hata...
jamani msaada hounted house arusha Sina kodi niwe hata Nina ilinda tu, hata miezi 6 najitafuta wazeeee nilikuwa na fedha now nimeshuka sana Sina kitu kabisa mimi huwa hazinisumbui kabisa hizo mauza uza
Habari wapendwa, mie ni kijana wa miaka 29 nilikuwa na fedha vizuri kabisa but nikafukuzwa kazi for now Sina ishu na nilikuwa naishi Mwanza but for now niko Arusha nina week mbili tena nimefikia kwa ndugu.
Nilikuwa na fedha nyingi sana but kwa sasa kitu ambacho nimebaki nacho ni gari brevis tu...
Shida iko hivi watu tunataka kutumia mantiki kujibu mambo ambayo mantiki kamwe haiwezi kujibu, maana yako juu zaidi ya mantiki, maana mantiki iko very limited maana iko na ukomo so ni swali la kipuuzi tu kama lina nia ya kukana kila ambacho kinaenda tofauti na mantiki
Kumkufuru Roho mtakatifu ni nini?
Kumkufuru ni kitendo cha kutukana kwa kujua, kukejeli kwa kujua na kupotosha kwa makusudi kwa mlengo wako chochote kibaya kuhusu utendaji wa ROHO MTAKATIFU
Pia ifahamike kuwa roho mtakatifu sio kitu ni nafsi hai (personality) kamili
Kwa mujibu wa biblia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.