wansawa
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 857
- 858
Sana ndugu: Hivi nafsi,roho,mwili nikimaanaisha nyama na mifupa. Waulize hao wajuzi watupe nondo bro.Ngoja nipate nondo hapa!
Sana ndugu: Hivi nafsi,roho,mwili nikimaanaisha nyama na mifupa. Waulize hao wajuzi watupe nondo bro.Ngoja nipate nondo hapa!
💯Kuna maelezo marefu, ila kwa kifupi nikupe mfano, kama kuna ofisi fulani na ili kuingia kwa boss ni mpaka secretary akuombee ruhusa kwake, sasa hapo tufanye boss ndio destination la maombi yako, na secretary ndio huyo Roho, yaani ili maombi(ikiwepo ya msamaha) yakubalike mbinguni ni Roho Mtakatifu ndio ambaye huwa anatuombea maana sisi kama wanadamu huwa tunakosea sana kuomba. Sasa ukimkufuru Roho ni sawa na kuvunja daraja,hakuna ombi litafika panapostahili na hata ile hali tu mtu kuomba toba haiwezi kuwepo maana ni huyuhuyu Roho ambaye huwa anatukumbusha tulipokosea na kuomba toba.
"Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa".
Warumi 8:26
NielewesheKama hujapata majibu ya uhakika niambie nikueleweshe zaidi

Andiko gani linalosema hivi?Watakatifu Bora ni wale walioko duniani si walio kufa. Nafsi haifi ila roho hufa, ni maandiko matakatifu sio mimi .
Mkuu, hapa lazima kwanza ujue; roho mtakatifu ni nani/nini, anatendaje kazi zake, ni kazi gani anatenda kwetu wanadamu.Sisi wanadamu tunapitiwa kweli kutenda maovu lakini Mungu hutuhurumia
Kwa upande wa ukristo Yesu aliwai kusema waweza kumkufuru Yeye lakini sio roho mtakatifu hutasamehewa hata mungu lakini sio roho mtakatifu husamehewi kamwe ulimwengu huu na ule ujao hivi nini maana ya kukufuru roho mtakatifu wajuzi naomba utatuzi....