Wangetamani sana kuwateka na kuwaua ni vile tu watu walipiga kelele dunia nzima ikaona kinachoendelea Tanganyika wakaona aibu wakaona basi ngoja tuwape kesi kubwa kubwa ila isingekua zile kelele ungesikia tu wametekwa aw ajulikani walipo na ndo una kua forever
Kwanza mnamteteaje Nape mwenyewe ana mambo meusi mengi tu watajuana wenyewe hivi alafu kitenge ni nani mnauhakika ayupo kwenye system meana kah anacodence na ye ye alivyomtoa huyo jamaa apo
Acha kesi iende mahakamani tu mahakama ndo itaamua kwanza ushahidi wa wewe kuiba unaeza usijitosheleze Ila unaeza patikana na hatia ya uzembe na ata kama utalipa sio iyo million tatu
Salsa na wao wanashiriki uchaguzi wa nini wakati wanajua kabisa sio wa huru na haki wala auna uwazi wakishindwa itakuaje si bora waeendelee kupambani reforms
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.