Kwa unyenyekevu mkubwa nawashukuru Wizara kwa kutoa ajira kwa vijana wenu,vijana wameripot katika vituo vyao vizur kabisa cha kushangaza tangu walipoti had sasa hawajapata hela za kujikimu na mshahara pia hawajapata.
Niliomba ajira kwa ngazi ya cheti na nimepata.
Naombeni Msaada nifanyeje wakati kwa sasa niliingia chuo na kujiendeleza kwa ngazi ya Diploma ya Maabara na mwezi ujao natarajia kumaliza.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi awamu ya pili mwaka mwaka 2017 pamoja na fomu za kujiunga na shule (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz
Maswali:-
1. mbona nikiangalia hiyo link ya...
Wanajamii habari za asubuhi?naombeni kuuliza,hivi wadogo/watoto wetu waliomaliza kidato cha nne na majina yao kutoka kua watachaguliwa KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI 2017,Je,watachaguliwa/kupangiwa shule lini?
Naomben msaada ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.