Wakuu niliwahi kuona taarifa ya katibu mkuu TAMISEMI na katibu mkuu utumishi, Juma Mkomi ila sikuielewa vizuri alisema vibali vya uhamisho kila QUARTER sasa siajelewa hiyo QUARTER anayoizungumzia ni zipi naomba ufafanuzi mkuu.
PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS
📢 UFAFANUZI MUHIMU: “VACANCY IS NOT BUDGETED” KATIKA MFUMO WA ESS
Ndugu mtumishi,
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu ujumbe huu unaojitokeza kwenye mfumo wa ESS wakati wa kuomba uhamisho:
❗ “Vacancy is not budgeted”
Wengi wanauliza:
“Kama tayari nalipwa...
Habari za mchana wakuu nina shida na wanafunzi waliomaliza SHULE YA SEKONDARI AMANA ISLAMIC iliyopo MTWARA MJINI
nawatafuta wanafunzi tuliohitimu kidato cha sita mwaka 2017
Nawaomba kama wapo humu
JANUARY CHIUMBI
JAMILA LUKANGA
SHAIBU HAMIS
AMID
KARIMU
0791823730
0623789944
Habari za kazi wakuu natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi
Kutoka mkoa wa songwe wilaya ya momba
Kwenda mkoa wowote kati ya hii
LINDI
MTWARA
RUVUMA
Mawasiliano 0791823730
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.