Recent content by SHAY2

  1. S

    Div 3 kidato cha TANO au UALIMU?

    Wakuu Inasemekana kuwa div 1 had 3 ndio watakaojiunga na vyuo vya ualimu, je kama me nina Div 3 ya 31 na combi imebalance, nitachaguliwa kujiunga na kidato cha tano au ualimu? Na kama ni ualimu nitachaguliwa moja kwa moja au mpaka nitume maombi? Msaada wako tafadhali
  2. S

    Niorodheshee topics za Hgk

    =mpigamsuli;8844502]HGK ya kijinga soma HGL ndo nzuri, HGK Ndiyo comb. iliyo balance so sina budi kuisoma kwani nyingine zimekataa, wala hata cjilaum sana kwani siyo sawa na comb. kutobalance kabasa, BUT also if u like HGL a' m like HGK, kwani mwanamke niliye mpenda mm yawezekana kwa mwingine ni...
  3. S

    Ada (pesa) na mahitaji mengine A-LEVEL (GOVERMET) INAFIKA SH.NGAP?

    Molembe;8842378]Andaa kama laki 5 mahitaji ni mengi mno. Mkuu ungeorothesha mahitaji yote, kila hitaji na pesa yake ingekua poa xana.
  4. S

    Niorodheshee topics za Hgk

    Perry;8827397]We dume zima utasomaje kombi ya kike hiyo? Serikali haikupanga combination ya kike wala ya kiume hizo ni fikra duni fikra hizo ndizo zinazosababisha wavulana wengi kufeli kutoka na kukomaa na sayansi wakati hawawezi eti arts ni ya kike, kaka funguka akili achana fikra zako, haya me...
  5. S

    Ada (pesa) na mahitaji mengine A-LEVEL (GOVERMET) INAFIKA SH.NGAP?

    Kwa wale waliopitia A-LEVEL in govermet or hata kama ni private lakini anafaham plz naombeni m2juze ili 2weze ku focus 2taanzia wp? Maana weng we2 2natoka katika familia za kipato cha chin so 2kifaham 2natweza kujipanga kabla kuliko kusubiri kutangziwa na wahusika wa shule hizo kwani muda...
  6. S

    Div III ya 31 wanaweza kwenda A-level kwa mtokeo haya?

    Kwa matokeo haya wanaweza kenda A-Level; History C, Geography C, Kiswahili B, English D, Biology D, Agriculture D, Civics D, Maths F, Chem E, ambayo ni div III ya 31 mbona me namashaka?
  7. S

    Msaada Nokia 6070

    Helo Wana Jf Cm Yangu Nokia 6070 Lakin Nikidownload Uc Inakataa Kuconect Kwenye Internet, Mwenye Utaalam Anisaidie
  8. S

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Nimeikubali xana mkuu
  9. S

    Nisaidieni na hili neno ttafadhalini

    Nomino mwanaume limeundwa kwa kuunganisha nomino mbili tofauti MWANA pamoja na UME, hivyo neno MWANA linamaana ya MTOTO na UME limetokana na UUME (ubo**) hivyo MWANAUME linamaana ya MTOTO mwenye UUME haijalishi rika bali kinachaangaliwa ni UUME. Mwanamke akifanya kazi nzito huambiwa we ni...
  10. S

    Mshamba wa Manyara na gari ya VodaCom

    Jamaa moja huko Manyara aliona gari la Kampuni ya VodaCom akajificha eti sababu alikopa nipige tafu.
  11. S

    Akili za kuku ni zaid ya mawaziri

    alikuwa anakusema wewe,Yule au haukumwelewa??!
  12. S

    Hii ndoto inatisha- nisaidieni

    Ndoto yako inaashiria baada ya kufa utaumbwa upya na kurudishwa duniani kwa umbile la ndege.
  13. S

    kichekesho cha leo hii!

    umetisha mkuu
  14. S

    Natafuta rafiki wa kike

    nakutaka we uliye kuliya kwa murombooo unasifa kuliko wote love 2 u baby nadhani we mtamu sana mwaaaah
  15. S

    Hamna kitu!!

    Inaonyesha we huwa hufuati maele kezo hata katika mitihani yako tittle inakuambia HAMNA KITU we unafungua, haya umefaidi nini?
Back
Top Bottom