Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
mi nimekuliaga muromboooo tarakea
jiswahili ndo nalijua kidogo
lijiinglish sijalisomeaga!!
jiswahili ndo nalijua kidogo
lijiinglish sijalisomeaga!!
Hakyamungu we muone Lady doctor hivyo tu, anapenda sana kuburudisha na maneno ila sivyo yalivyo matendo yake.
Shoga, we acha tu.
Lady doctor huyo ndo ananiingiza majaribuni.
ndio maana nakupenda mume wangu!
Mmmwaaaaaaaaaa!!!!!!!
We... Ben Saanane au Remote wakijua wataniua.Mie ndo niende nae Bar wewe Guest mke mwenza.[/QUOTE ladydoctor jiangalie unakompeleka mke wangu.. oooh tusijelaumiana humu
We... Ben Saanane au Remote wakijua wataniua.Mie ndo niende nae Bar wewe Guest mke mwenza.[/QUOTE ladydoctor jiangalie unakompeleka mke wangu.. oooh tusijelaumiana humu
Remote mbona yeye ndio ananipeleka mimi??
nakutaka we uliye kuliya kwa murombooo unasifa kuliko wote love 2 u baby nadhani we mtamu sana mwaaaah
mida hiyo ndio huwa niko huru kiongozi.Hiko ni kiswahili huoni neno *NA*neno lolote la kiingereza ukiliunganisha na neno la kiswahili basi hubadilika na kuwa kiswahili.Washawasha hii ratiba yako ni kiboko, kila siku unalog in the same time hahahaha
_____________________________
nimeupenda ushauri wako, lakini mbona we unatumia kingereza "nalog off"?
ukishamaliza kuwachagua unang'oa au wanakuwa kwenye list ya marafiki zako?Unaufehemu mtandao unaoitwa Badooo ingia huko kajichagulie ni kama wako gulioni kila shepu kila size kila aina utapata
ukishamaliza kuwachagua unang'oa au wanakuwa kwenye list ya marafiki zako?
Nalog off
cc: Passion Lady!!!!!
Mimi ni dume la mbegu.Jitokeze washa washa mzigo huo
Nalog off!!! Ha ha haaa