Recent content by SHAURITINA

  1. S

    Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

    mimi binafsi nashangaa sana mtu anaposema waliomzomea Magufuli ni wahuni na wavuta bangi.Kwani wahuni na wavuta bangi siyo wapiga kura??au siyo watanzania??
  2. S

    Hii Mikoa Nani Kailoga?

    Jaribu kufananisha vijiji vya mkoa wa dodoma na vile vya Ruvuma.Ruvuma iko mbali sana au mnaangalia mjini tuu.Ukienda dodoma vijijini utalia.
  3. S

    Kwa nini ni kwa soda tu sio kwa bia??

    Sukari ya soda ni nyingi lakini siyo mbaya na haisababishi kisukari ukilinganisha na bia.Ndiyo maana waugua kisukari wengi ni wanywa bia.
  4. S

    Nimeku "miss" kwa kiswahili

    Nimekuhamu sana-mic U alot.
  5. S

    Mara Clara whole series ntaipata wapi?????

    Mkipata please!!!!
Back
Top Bottom