Una tatizo la panic ambayo inaleta hofu na kufanya uwe mwoga. Katika hali kama hii ni vigumu mzunguko wa damu kuelekea kwenye ume wako kustabilize kwa sababu adrenaline inakuwa inatibua. Jenga mazoea ya kucheza na jamaa yako kwa muda mrefu ukiwa katika hali yako ya kawaida (bila kuvua nguo) ili...
Na kwa upande wa mikoani ni wapi naweza kupata shule za kuresit form four au kumpokea kwa ajili ya A level mwanafunzi mwenye div IV ambaye combination inakubali masomo mawili KL kwa pass za DC? Msaada tafadhali.
Brothers and Sisters, naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia CPA study materials za module B na module C tuwasialiane. Hata kama naweza kupata kwa kununua bado ni poa sana.
Email yangu ni sharp_sana@yahoo.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.