Recent content by Sharp Observer

  1. S

    Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

    Sahihisho Usijalumu kwa kupata pressure. Yawezekana ni biological factor uliyozaliwa nayo. Ndiyo maana kuna wazee wana 80 ila hawana pressure ila wenye 30 wana pressure
  2. S

    Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

    Pole ila ni changamoto ya kawaida. Kama una uwezo nunua mashine ya kujipima nyumbani. Anza kufanya mazoezi mepesi hasa ya kutembea walau nusu saa kila siku. Kama una vinyongo au mawazo sana jitahidi kuepuka. Kapime Chorestrol, malaria, na UTI kwa sababu hupandisha pressure. Usipunguze uzito...
  3. S

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Awali nakupongeza kwa kuchukua jukumu la kutuelimisha sisi wenye ufahamu mdogo kuhusu mambo haya. Swali langu linahusu mabaraza ya usuluhishi. Nafamu (sina uhakika kama ndivyo kisheria), mabaraza ya usuluhishi ni pamoja na Bakwata, Baraza la kata na mabaraza ya usuluhishi makanisani. Mimi ni...
  4. S

    2002- - - 2013 oooooooh ndoa yangu

    Mzee usiogope ni tatizo dogo. Naomba ufanye yafuatayo! Kama una gari, pumzika kuendesha maana kichwa chako hakiko sawa Mtafute rafiki yako wa karibu ila msiri, wa kupiga naye story, akupunguzie mawazo, hapa simaanisho demu. Kama una vipesa kidogo, ondoka hapo nyumbani wala usiage, kakae japo...
  5. S

    Kwa hili nitawachukia wanawake milele. Na sitowasamehe.

    Mzee hapo umekuwa kidume, nafasi ya kundelea na maisha bado ipo, mna mtoto naye? Kama hakuna mtoto, it is simple.
  6. S

    Je ni kweli wanawake wanaongozwa na hisia?

    Kile ninachofahamu ni kuwa: Wanadamu wote tuna akili za aina mbili: Akili ya mantiki (logic) na akili ya hisia (emotional). Ila kwango cha akili hizi kinatofautina kulingana na jinsi. Wanaume wanatumia akili ya mantiki zaidi katika kuendesha mambo yao ilihari wanawake wanatumia akili za hisia...
  7. S

    Mwanaume wa kileo ni kichwa cha mke wake au ni miguu?

    Wakati mwingine watu waache ujinga, hebu tujikumbushe maisha ya wazazi wetu siku za nyuma hasa huko vijijini 1. Mume na mke wote wanaelekea shamba kulima mazao ya biashara n chakula, mfano pamba na mpunga huko shinyanga. Msimu wa mauzo ukifika, baba anapeleka mazao sokoni na kurudi na pesa...
  8. S

    Naombeni ushauri wadau

    Mkuu pole sana. Mimi naomba msaada wa utaratibu wa kupima DNA pale muhimbili. Ni utaratibu gani unautumia ama kimjini mjini na gharama ni kiasi gani?
  9. S

    Mwanaume wa aina tumwiteje

    Ndio shida ya wanawake kupenda mabraza men. Unataka bonge la handsome, misheni town bila kufikiria hiyo ni sehemu ndogo tu ya ndoa. Any way kama ni mmeo mvumilie kama sio mmeo na hujaolewa jifunze. Kama sio mmeo na umeshaolewa hayakuhusu. Mimi ni mwanaume, ninaamini sehemu kubwa ya sista du au...
  10. S

    Kizungumkuti cha ndoa!

    Mali hizo ukiwa peke yako unao uwezo wa kuzi-manage bila madhara. Ila ukiwa na mme wako hutaweza kwa ufanisi uleule kwa kuwa hata madaraka madogo uliyopewa ndani ya bustani ya edeni uliyatumia vibaya. Mwenyezi Mungu akakupokonya madaraka akampa mwanaume i.e ulishindwa kujiongoza kwa ufanisi
  11. S

    Simulation ya Ndoa

    Nitakujibu baadaye kazi za mwajiri bado zimenibana, ila punguza munkali and relax. Nina mke na watoto wawili. Jiulize swali fupi kwa nini wakristo (hasa Roman) hawaruhusu asiye na ndoa kuwa msimamizi wa ndoa? Then nitakujibu vizuri baadaye
  12. S

    Simulation ya Ndoa

    If so then they are simulating, do not have actual environment
  13. S

    Simulation ya Ndoa

    I Conquer with you! Na hicho ndicho nilichomaanisha
  14. S

    Simulation ya Ndoa

    How do you preach what you don not practise? And especially to emotionally generated responses?
  15. S

    Simulation ya Ndoa

    Habari ndugu mwana JF Katika sayansi ya kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasilianao (ICT), tunapozungumzia SIMULATION tunamaanisha kufanya practical katika mazingira yasiyo halisi (virtual environment). Mfano unaweza kuwa ni kutafiti msongamano wa magari dsm na kutoa ufumbuzi wake kupitia...
Back
Top Bottom