Je ni kweli wanawake wanaongozwa na hisia?

Je ni kweli wanawake wanaongozwa na hisia?

Kile ninachofahamu ni kuwa:
Wanadamu wote tuna akili za aina mbili: Akili ya mantiki (logic) na akili ya hisia (emotional). Ila kwango cha akili hizi kinatofautina kulingana na jinsi. Wanaume wanatumia akili ya mantiki zaidi katika kuendesha mambo yao ilihari wanawake wanatumia akili za hisia zaidi katika kuendesha maisha yao.

Mfano tukiwa darasani wote tunatumia akili za mantiki, japo huwa zinaingiliwa na akili za hisia. Na akili za hisia huingili akili za mantiki kwa viwango tofauti kati ya mwanaume na mwanamke. Mwanaume ni kidogo wakati mwanamke ni zaidi. Jaribu kutazama taarifa ya msiba ikiletwa nyumbani; ikawakuta kaka na dada; dada ghafla anaanza kulia wakati kaka anaanza kufikiria what is next. Ikumbukwe kuwa kuna tofauti ya kimaumbile kwamba unaweza ukaonekana mwanaume lakini distribution ya akili ikafuata muundo wa mwanamke na ukawa mwamke na distribution yako ikawa ya kiume.

Hivyo mambo mengi anayofanya mwanamke anahusisha hisia zaidi wakati mwanaume anahusisha akili ya mantiki.
Si udhaifu, bali Mungu aliwaumba hivyo. Mwanaume anapaswa kumtawala mwanamke ili kutimiliza mapungufu hayo nawe mwanaume usichukue advantage ya muundo wa maumbile yao.
 
Nazjaz ungejua mnavyoyaendesha maisha yetu asilimia sitini na zaidi ya mazunguzo ya wanaume n wanawake tuu!!
hapo kwa RED naona kama umeaznia chini sana, lol!
afadhali umelisema hili wazi kabisaaaaa
cc: mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom