uelewa wako ni duni sana, ili suala la nyoka wengi hawana sumu ni jambo la kubishana kweli?
ina maana tupo watu wachache sana tunajua kwamba ni species chache sana za nyoka ndo poisonous compared na majority.??
kuna jamaa mpaka leo anaamini kuwa chatu nae ana sumu afu huyo jamaa ana elimu ya...
ni kweli wanaume wengine wanapenda kutunzwa na wajane wenye vijisenti,mimi imenikuta hiyo,inaboa sana,nimejifunza kuwa na msimamo,anjifanya anakupenda,analinga sana,maneno maneno ya uzushi,ili mradi tu umbembeleze,mi nimechoka,pole mama mwenzangu.
MSAGA SUMU
aa kaka ndio maana mzee hakukubali,kama kuanzia asubuhi hadi jioni nyie mko getho,basi wewe si mtu wa kazi,haukubariki,na mzee akiishika nchi,jiandae kuungana na babu seya garezani,
kwa kashfa tu bavicha hamjambo yaani hamuwezi kuongea kistaarabu kabisa, jambo la kuwa hata viongoz wenu ili tatizo wanalo. slaa anachoweza ni kubwabwaja tu mbele ya audience basi na uzoefu anao ikizingatiwa kwamba yeye ni padri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.