Recent content by Sharif

  1. Sharif

    'Sina Maneno' - new release !

    Wimbo mpya wa 'Sina Maneno' by Samedali Afrika, mwanafasihi, sasa unapatikana kwenye mtandao wa youtube na mdundo.com Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Sharif

    Check out the songs from Samedali Afrika

    Check out the songs from Samedali Afrika Samedali Afrika Music - Free MP3 Download or Listen | Mdundo.com Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Sharif

    Lissu usiishie kusoma Ibara ya 18 ya Katiba, Soma na ya 30

    kuna tofauti kati ya maslahi ya umma na maslahi ya ccm wachache wanaoishi mjini kwa kung'ang'ania madaraka !
  4. Sharif

    Waitara: Mawakala wa CHADEMA walinipigia kura

    kumbe huyu jamaa ni zero.. sasa ndio anafunuka taratibu..
  5. Sharif

    Dar: RC Makonda alipongeza Jeshi la Polisi kusimamia uchaguzi vizuri. Awaandalia sherehe ya Polisi Family Day

    kkkkk ! unatumbua vyeti feki unapandikiza nyadhifa feki.. hapa ndio utaelewa jinsi alivyo mnafiki.. mafisadi hawaishagi ila huzaliwa aina mpya za mafisadi.
  6. Sharif

    Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    kkkk ! dah ! tanzania bila madhalimu wa madaraka haiwezekani.
  7. Sharif

    Jambo hili halifai na watanzania tulipinge!!

    tuliambiwa kaskazini tayari wana maendeleo wakae pembeni ila ukienda kaskazini kama same, simanjiro, kuna hali ngumu kuliko kanda ya ziwa kama vile mwanza.
  8. Sharif

    Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kusimamisha shughuli za kimahakama (Mabaraza ya Kata)

    Limbukeni ataijua wapi sheria.. Kila mamlaka atajipa.. Eti nasikia kawa bashite maliyamungu Mtekaji.
  9. Sharif

    Makonda: Kinondoni msipomchagua Mtulia mtaendelea kubomolewa nyumba, chagueni CCM mpate maendeleo

    wafuate nyayo za wema.. wabaguzi kinyaa ndio wameingia madarakani.. taifa linajengwa kwenye misingi ya chuki na ubaguzi na hawa wasukuma.
  10. Sharif

    Hivi bado upingwaji wa jitihada za Rais unaendelea?

    ivi jitihada za pombe kuendelea kupora madaraka zinaendelea ? nasikia baada ya kuhakikisha madiwani alionunua kwa kodi zetu wanashinda sasa anaforce kinondoni na siha lazima wabunge alionunua washinde ! fisadi kinyaaa ! CCM wenyewe mnakiri hawa wasaliti wawili mliwakata kwenye maoni nasikia...
  11. Sharif

    Uwepo wa Jehanamu ni habari za kutungwa

    jehanamu na pepo ni akili ya mtu.. uhalisia ni kwamba viumbe hai hufa.. what next ni woga wa mtu.
  12. Sharif

    Wakubwa "wampiga" Rais Magufuli e-passport

    pombe kila siku anaokoa alichokizamisha jk lakini nafuu pale jk alipolizamisha taifa, hali za kimaisha za watanzania ziliboreka.. pombe analiokoa taifa huku maisha yakiwa magumu zaidi.. pombe anaokoa huku passport ikipanda bei kwa 150% pombe anaokoa taifa huku Wasukuma kama vile Bashite, Dotto...
  13. Sharif

    DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    eti mange anadai jamaa ni shoga mfuga majini.. dunia bana !
Back
Top Bottom