Waitara: Mawakala wa CHADEMA walinipigia kura

Yaani hujuma zoote serikali inazomfanyia Mbowe kwenye vitega uchumi vyake hajateteleka na wanachama wake hawajaacha kumuunga mkono, seuze wewe kupewa ubunge na polisi ndio kuwasababishie waache kumuunga mkono?!
Hujuma zipi sasa si mlisema Kikwete dhaifu Sasa ndo chama limeshika hatama
 
Mbunge mteule wa Ukonga Mwita Waitara Baada ya kutangazwa kama mshindi katika uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo hilo amesema mawakala wa CHADEMA katika vituo vya kupigia kura walimpigia yeye.

Akiongea leo baada ya kutangazwa, Mwita amesema alikuwa na matarajio ya kushinda kwa zaidi ya asilimia 95, hivyo hajashangaa kupata ushindi huo wa asilimia 89.

''Nina ushahidi wa ujumbe mfupi kwenye simu yangu, mawakala wa CHADEMA katika vituo jana wamenipigia kura na walikuwa wananitumia matokeo mapema tu hiyo inaonesha nilikuwa na uungwaji mkono mkubwa sana'', amesema.

Aidha Mwita amekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kujitazama kilipojikwaa na sio kilipo angukia huku akiweka wazi kuwa kama wanataka chama kibakie waachane na mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wakiendelea kumkumbatia chama kitawafia.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi leo, msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo hilo, Jumanne Mashauri amemtaja Mwita Waitara wa CCM kama mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.

Muungwana
Yaani haka ka dada , Asia Daud Msangi (kaskazini) ukanda na ukabila Ukonga waligundua hilo, wakapiga chini
 
Huna lolote msaliti mkubwa wewe tuachie Chadema yetu
Mbunge mteule wa Ukonga Mwita Waitara Baada ya kutangazwa kama mshindi katika uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo hilo amesema mawakala wa CHADEMA katika vituo vya kupigia kura walimpigia yeye.

Akiongea leo baada ya kutangazwa, Mwita amesema alikuwa na matarajio ya kushinda kwa zaidi ya asilimia 95, hivyo hajashangaa kupata ushindi huo wa asilimia 89.

''Nina ushahidi wa ujumbe mfupi kwenye simu yangu, mawakala wa CHADEMA katika vituo jana wamenipigia kura na walikuwa wananitumia matokeo mapema tu hiyo inaonesha nilikuwa na uungwaji mkono mkubwa sana'', amesema.

Aidha Mwita amekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kujitazama kilipojikwaa na sio kilipo angukia huku akiweka wazi kuwa kama wanataka chama kibakie waachane na mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wakiendelea kumkumbatia chama kitawafia.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi leo, msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo hilo, Jumanne Mashauri amemtaja Mwita Waitara wa CCM kama mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.

Muungwana
 
Kwenye mapambano yoyote adui yako akiwa dhaifu nazani ni jambo zuri kwako sasa kama mbowe akiendelea kuwa mwenyekit wa cdm chama k itakua dhaifu na kunauwezekano kikafa si ndio raha kwa ccm sasa huu ushauri wa nini?
 
Mbunge mteule wa Ukonga Mwita Waitara Baada ya kutangazwa kama mshindi katika uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo hilo amesema mawakala wa CHADEMA katika vituo vya kupigia kura walimpigia yeye.

Akiongea leo baada ya kutangazwa, Mwita amesema alikuwa na matarajio ya kushinda kwa zaidi ya asilimia 95, hivyo hajashangaa kupata ushindi huo wa asilimia 89.

''Nina ushahidi wa ujumbe mfupi kwenye simu yangu, mawakala wa CHADEMA katika vituo jana wamenipigia kura na walikuwa wananitumia matokeo mapema tu hiyo inaonesha nilikuwa na uungwaji mkono mkubwa sana'', amesema.

Aidha Mwita amekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kujitazama kilipojikwaa na sio kilipo angukia huku akiweka wazi kuwa kama wanataka chama kibakie waachane na mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wakiendelea kumkumbatia chama kitawafia.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi leo, msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo hilo, Jumanne Mashauri amemtaja Mwita Waitara wa CCM kama mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.

Muungwana
Ukome kuja kuomba pombe za bure hapa Banana.
 
Huyu akili zake zitamrudia uchaguzi wa 2020, atajutia hizi kauli chafu anazozitoa, CCM watamtupa kama hawamjui. Amalizie hiki kipindi kilichobaki na asahau kuhusu ubunge.
Atarudia kunywa gongo kwani hapati offer zetu tena.
 
kumbe huyu jamaa ni zero..
sasa ndio anafunuka taratibu..
 
Sasa kule bungeni hatakuwa na ugomvi wowote na Ayubu.
 
Yupo CCM, lakini anaiwaza Chadema,eti ushindi ? au uporaji..

Nenda mwana kwenda msaliti mkubwa,dhambi ya usaliti haitokuacha salama.
Hivi una habari kuwa baada ya shetani afuataye katika rank ni mwanasiasa hasa aliye kigeugeu?
Na ndio maana wanasiasa humsaidia shetani kazi kwa ukaribu sana na huifanya kwa usahihi kumzidi shetani mwenyewe! Waitara hakosi kwenye rank hii!
 
Nilitegemea hilo watu wa ukonga na jimbo lake kwa ujumla kutawaliwa na 'msaghane' ni ngumu sana
 
Lengo la huyo ni kuivuruga CHADEMA,na anasema hayo akijua CHADEMA watawawashia moto hao mawakala ili lengo lake litimie.

Bado nawaambia vijana wasikubali kuwaamini sana wanasiasa,ni muhimu mtu kuwa na misimamo yako peke yako. Hawa watafuta fursa ukiwaamini sana watakuvunja moyo.
 
Mbunge mteule wa Ukonga Mwita Waitara Baada ya kutangazwa kama mshindi katika uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo hilo amesema mawakala wa CHADEMA katika vituo vya kupigia kura walimpigia yeye.

Akiongea leo baada ya kutangazwa, Mwita amesema alikuwa na matarajio ya kushinda kwa zaidi ya asilimia 95, hivyo hajashangaa kupata ushindi huo wa asilimia 89.

''Nina ushahidi wa ujumbe mfupi kwenye simu yangu, mawakala wa CHADEMA katika vituo jana wamenipigia kura na walikuwa wananitumia matokeo mapema tu hiyo inaonesha nilikuwa na uungwaji mkono mkubwa sana'', amesema.

Aidha Mwita amekishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kujitazama kilipojikwaa na sio kilipo angukia huku akiweka wazi kuwa kama wanataka chama kibakie waachane na mwenyekiti wao Freeman Mbowe na wakiendelea kumkumbatia chama kitawafia.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi leo, msimamizi mkuu wa uchaguzi jimbo hilo, Jumanne Mashauri amemtaja Mwita Waitara wa CCM kama mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.

Muungwana
Hivi kwani zile movie unakuta familia imetekwa alafu baba wa familia anaamrishwa kufanya chochote ili tu familia yake iwe salama, huwa inatokeaga kweli kwenye maisha?

Mbona kama huyu jamaa familia yake imetekwa alafu anahangaika kuikomboa?
Yaani anafanya na kusema vitu kana kwamba kuna kitu anakitafuta
 
Back
Top Bottom