Wakubwa "wampiga" Rais Magufuli e-passport

Wakubwa "wampiga" Rais Magufuli e-passport

NAINYOOSHA NCHI!!!! Tangu lini fisadi, mwizi, muongo asiyeshaurika akaweza kunyoosha nchi? Haya TAKUKURU wapewe uchunguzi halafu upotelee hewani. Jamaa fisadi zaidi ya miaka 20 sasa halafu anadai ANAINYOOSHA NCHI!!! Na huyu aliyepewa huo mkataba bila shaka ni Mkoromije.

Elli, MANI, Tetty, Sky Eclat
Dah afadhali asingesema chochote angebaki kimya tu, yaliyoko myuma yake ni mengi kuliko anayoyasema....ngoja tuone picha inakwendaje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inanishangaza sana hii ya kuchota pesa za walipa kodi bila idhini ya Bunge na kuzigawa kama njugu in billions!!!! Wizi na ufisadi katika awamu hii ni zaidi ya awamu Za mafisadi Mkapa na Kikwete COMBINED.

Mkuu kwani hakuna budget ya kujenga Marengo ya serikali? Hii habari ya rais kutoa billion kumi, 20 imekaaje?

Kuhusu passport nimesikia ni quick money making mashine. Yaani wameona walete passport na ziuzwe laki na nusu pesa yao itarudi na faida watapa
 
NAINYOOSHA NCHI!!!! Tangu lini fisadi, mwizi, muongo asiyeshaurika akaweza kunyoosha nchi? Haya TAKUKURU wapewe uchunguzi halafu upotelee hewani. Jamaa fisadi zaidi ya miaka 20 sasa halafu anadai ANAINYOOSHA NCHI!!! Na huyu aliyepewa huo mkataba bila shaka ni Mkoromije.

Elli, MANI, Tetty, Sky Eclat

Nikikumbuka Bilioni nane tukaletewa Kivuko Chakavu na bado tunalazimishwa tumwite Mzalendo ,labda sababu alitupiga na kupiga ndiyo uzalendo wenyewe ,mpaka siku tukifunguka macho ndipo tutaongea,ngoja wandelee kupiga ni muda wao wa kula
 
Rushwa sidhani kama itakuja kuisha, hata Mwalimu Baba wa Taifa alikiri kwamba kupigana na vita Rushwa unatakiwa kuwa na moyo mgumu kama wa mwendawazimu.


 
Ayo yote yameletwa na Tundu Lissu hizo ndo akiri za wapumbavu walio wengi
 
Mwandishi atuambie hiyo kampuni anayoisifia ilimlipa sh. ngapi?
 
Inanishangaza sana hii ya kuchota pesa za walipa kodi bila idhini ya Bunge na kuzigawa kama njugu in billions!!!! Wizi na ufisadi katika awamu hii ni zaidi ya awamu Za mafisadi Mkapa na Kikwete COMBINED.

Tanzania inakuwa masikini Zimbabwe tutawazidi Zimbabwe,UVCCM wanaocheka leo watalia mpaka watakaukiwa machozi,wabunge wa CCM wanaopiga makofi leo wengine ninauhakika watakuja kujitundika kwenye miti
 
Kabla ya yote ni budi uchunguzi huru na wa kina ufanyike. Na kama taarifa za gazeti la Jamhuri ni za kweli basi kuna ufisadi mkubwa unaendelea chini kwa chini katika idara na miradi ya Serikali ya Awamu ya Tano. Hii itakuwa ni moshi unaofuka lakini moto uko kila kona.
 
Rushwa sidhani kama itakuja kuisha, hata Mwalimu Baba wa Taifa alikiri kwamba kupigana na vita Rushwa unatakiwa kuwa na moyo mgumu kama wa mwendawazimu.



Waweza kama wwe ni msafi,sio ya nyani kufukuza ngedere kwenye shamba La mahindi.
 
Sasa makajanja kila mtu anaangalia upande wake kama ulimwaga ugali tuna mwaga mboga
 
pombe kila siku anaokoa alichokizamisha jk
lakini nafuu pale jk alipolizamisha taifa, hali za kimaisha za watanzania ziliboreka..
pombe analiokoa taifa huku maisha yakiwa magumu zaidi..
pombe anaokoa huku passport ikipanda bei kwa 150%
pombe anaokoa taifa huku Wasukuma kama vile Bashite, Dotto James, Heri James na Pombe mwenyewe wakiwa na maisha supa zaidi na kutanua mjini..
muokozi kaja !
bado yesu !
 
Kwenye bunge hakuna mbunge wa CCM alyeisha zungumxia hiz passport zaid ya kusifia tu.
 
ni kwel kabisa na ni wazi imethibitika hakuna mkoa wenye njaa mpaka sasa feb
unga kg 1=1000
klo mfuko 25=20000 hiyo ni sembe tu
dona kg1=700
kg 25=16500
ngano
kg1=1200
mnataka maendeleo gani zaidi ya kula kwanza? toka mwaka 2009 ndio mara ya mwisho kununua unga 700
asantf magufuli tunakuombea babaaa utufikishe 2020 tena tutakupa ushindi wa kimbungaa.
yeddy guyy
[gemstone dealer]

Ukiona mtu anajua kabisa bei ya unga na historia yake ni dalili kwamba ni maskini wa kutupwa lazima msifu maskini
 
Hili ndio gazeti LA kina Manyerere Jackton

Huyu aliomba mzinga wa bia ikulu

Ngoja tuone yasije kuwakuta ya MCL kwa yule jamaa Azoli
Tunasubiria wawateke waandishi wa jamhuri, unajua ukionja nyama ya mtu huwezi acha, mate yanawadondoka natamani niwaone sura zao wakisema Tanzania ni kisiwa cha amani
 
wilcoxon Nadhani tulichagua rais wa mikosi si bure, maan kila jambo lake lazima liwe vululuvulu...nikikumbuka yale ma expansion joint, makinikia, na sasa e..passport
 
Wamechelewa kwa sasa hatuna cha kuokoa wangesema kabla fedha hazijalipwa ingetufaa kwa sasa wamesaidia tujue kuwa wapigaji hawawezekani kuzuiwa
 
Back
Top Bottom