Recent content by shankal

  1. shankal

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Baada ya wamorocco kushindwa mashabiki wao walifanya ishara za kibaguzi kwa watu weusi kwa kula ndizi na kucheza kama nyani

    Mbona anatoa ndizi amevaa jezi ya Senegal au macho yangu?
  2. shankal

    JamiiForums Tanzania Haki huyu ndie mwalimu SIMBA tuliyemhitaji

    [emoji23][emoji23][emoji23]mpira ungekua unafasiriwa hivyo kama unavyo sema wewe ingekua atari,umeona new castle leo anavyo nyolewa na spurs iliyo fungwa na chelsea goli nne wakati chelsea nae kafungwa goli nne na new castle,this is footbal braza.
  3. shankal

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

    Umasikini mbaya sana mkuu Ungangali wa mtoto inategemea na wewe mzazi nyumbani, mtoto akirudi shule mpigishe kazi ndogondogo kama kujifulia nguo mwenyewe kulimalima vinyasi vinavyo zunguka nyumba,sio junia kaangalie katuni anakomaa,kwasababu hata huko kayumba unako mpeleka ukimdekeza wenzake...
  4. shankal

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume kuna mambo hupaswi kumuita fundi

    Sijui anataka tukale wapi sisi wazibua vyemba?[emoji848] Atakua mchawi huyu sio bure
  5. shankal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Kataa ndoa
  6. shankal

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi ni vidonge gani?

    Umeuza mechi?
  7. shankal

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu NSSF

    Nashukuru mkuu Kipi kinaanza kati ya kujaza form nssf wilaya na kuchukua hizo document za mwajiri? au nabeba hizo documents then naenda nazo nssf
  8. shankal

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu NSSF

    Habari za jioni wakuu, Mwaka 2018 nilikua nafanya kazi kwenye kampuni flani Nilifanya kazi kwa miezi saba tu nikaacha, nikaingia zangu mtaani. Sasa naomba kujua taratibu za kufuatilia mafao maana nilikua mwanachama wa nssf na pesa ya nssf ilikua inakatwa kila mwezi.
  9. shankal

    JamiiForums Tanzania DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Wakijibu niite broo hata mimi sijaelewa hapo
  10. shankal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, muwe mnanawa mikono kabla ya kuanza tendo

    Duuuh
  11. shankal

    JamiiForums Tanzania Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

    Atari[emoji119]
  12. shankal

    JamiiForums Tanzania Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

    Chapati na maharage[emoji39]
  13. shankal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

    Inaendelea?
  14. shankal

    JamiiForums Tanzania Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Shukran mkuu kwa huduma,kioo kipo fresh japo kilichelewa na enjoe,maana bei niliyo ambiwa huku hii simu niliamua kuipaki
Back
Top Bottom