Recent content by shangoo

  1. shangoo

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Sio kila kitu ni siasa. Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu

    Mahindi songea gunia tsh 30000
  2. shangoo

    JamiiForums Tanzania Ulishika M1 milioni moja ukiwa na umri gani?

    22
  3. shangoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni yupi mwanamke mwenye nafuu kati ya hawa wawili?

    Mwanamke mkorofi habadiliki
  4. shangoo

    JamiiForums Tanzania Huenda kuna waislam wengi duniani wameshazikwa wakiwa hai

    Kuna jamaa kitunda alikuwa fundi umeme kafa saa sita mchana jion saa kumi tukamzika ananiuma nadhan kama alizimia hivi dah
  5. shangoo

    JamiiForums Tanzania Hivi udi unafukuza kweli harufu ya bangi kama unavutia geto?

    Washa tambaa kidogo tu
  6. shangoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mliodumu kwenye ndoa wafundisheni wadogo zenu wanaoachika kila kukicha

    Ndoa ngumu sanaa nyie achen
  7. shangoo

    JamiiForums Tanzania Dharau na kiburi cha EQUITY Bank

    Kiukweli kwa sasa naona wamezidiwa sanaa kama tawi la mbagala la mikopo bovuuuuuuuuuuuuuu unakamilisha kila kitu afisa anakuzungushaaa tu.zama hizi bora umwambie mtu huna vigezo aendelee kusali.BARAKA WA EQUITY MUNGU ANAKUONA[emoji25][emoji25][emoji25]
  8. shangoo

    JamiiForums Tanzania Naingia Shambani very serious kulima Alizeti

    Mayuuuu uweee nzua wakukembetee
  9. shangoo

    JamiiForums Tanzania Ninyi wafanyabiashara/madalali kuweni makini mnapotaja bei zenu

    Kidibwi soda 4000
  10. shangoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana mahusiano na rafiki yangu

    Huyo unampenda mwambie unajua kuhusu huyo jamaa na mpe msimamo mzee usije umia baadae
  11. shangoo

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni makini

    Wanawake wa ajabu sanaaa unamgharamikia vitu vingi mpka unaoa baqda ya mwez mmoja kuna mpuuzi anachat naye anamwita maenge huku hata wewe hujawahi mwita[emoji45]
  12. shangoo

    JamiiForums Tanzania Milioni 5 inanichanganya akili. Je, inawezekana kuwekeza?

    Mkuu kama hujui hata kuwasha jiko biashara haikufai utapoteza hela biashara ya chakul nzur ila changamoto ni wapishi tu
Back
Top Bottom