Recent content by shamo

  1. shamo

    Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Angeanza kujiweka katika viatu vya mama lulu ambaye mwanae alikuwa anabakwa na Kanumba sababu hakuwa hata na 18 ila Kanumba anagonga bila huruma hapo angepata picha...
  2. shamo

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Ni uhuru wako wa maoni na umeutumia vizuri kama yeye...
  3. shamo

    Clouds Media bado wana mapenzi na Diamond!!!

    Kila utawala una zama zake brother, sasa kwa kuwa unawainua watu ndio uwapangie level za mafanikio yao, mtu akitaka step flani kwakuwa haikupendezi ndio awe adui!? I think WCB watafanya mapinduzi makubwa ya kuwafumbua wasanii na huu utumwa wa Ruge. Na hakuna mafanikio ya kweli chini ya utumwa ni...
  4. shamo

    Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

    Kiwango chake ni sawa na mboso hata harmonize hagusi
  5. shamo

    Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Hakuna kitu kama hicho eti siku za mahabusu kuhesabika kama sehemu ya kifungo na bwana hela. Huo ni uongo uliowazi kifungo kinahesabika siku uliofungwa na si vingine kabisa. Kipindi ulichokaa mahabusu unaweza kukitumia kumuomba hakimu akupunguzie adhabu na si vingine. Kutokana na hilo, hebu...
  6. shamo

    Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Si angetoboa mfuko tuu...mahindi yachuruzike.... ama pia yangegoma.. hapa watu wanapikwa waive...
  7. shamo

    Abdul Nondo afunguka kuhusu bodi ya mikopo

    Bodi ya mikopo na Serikali inapaswa kuondoa hicho kigezo na ibaki na sifa ya ufaulu wa mwanafunzi kulingana na fani anayoenda kusomea. Uasili wa mtoto katokea wapi, hautusaidii kama nchi, tunapaswa kulenga ufaulu kama sifa watoto wapige kitabu...labda wa Serikali wapewe kigezo maalum kama...
  8. shamo

    Aliyeshauri ofisi za mabasi ya mwendokasi (UDART) zijengwe Jangwani akamatwe mara moja

    Huu mradi ulifadhiliwa na WB si pesa ya Serikali directly ni mkopo, sasa unakopaje unajenga kitu kibovu!? Yule Mkuu wa TANROADS jana kasifiwa na kapewa Jina la Fly Over wakati alipaswa kuwa KEKO kwa kuitia nchi hasara kubwa kwa Barabara hii mbovu...kama mjini tena Dar hivi, huko Porini inakwaje...
  9. shamo

    Kwanini Honey Badger akiumwa na Nyoka wa aina yoyote huwa hafi bali huzimia kwa muda tu

    Usiyoyajua yaache tuu, huyu Dogo hata akute Simba wamekaa anakatisha tuu, anajiamini kufa, we umezaliwa mjini huyajui, kule vijijini wanamjua, ukikutana naye kama mwanaume unaambiwa shika mapumbu kwa mikono yote na lala chini kifudi fundi.... la Sivyo utamuua ila mapumbu na mzigo lama...
  10. shamo

    Morogoro: Rais Magufuli azindua daraja la Kilombero. Waziri Mbarawa asema litaitwa daraja la Magufuli

    JK will always remain JK....u'll remain in Tanzanians hearts...
  11. shamo

    Kwanini Honey Badger akiumwa na Nyoka wa aina yoyote huwa hafi bali huzimia kwa muda tu

    Kutokana na kuumwa sana na Nyoka, mwili wake umetengeneza anti-venum ya sumu ya nyoka, hivyo akiumwa mwili hutoi hiyo dawa...kwa hiyo hamna nyoka anaweza muua kwa kumg'ata sumu ikizidi sana huzimia kwa muda baadae anaamka baada ya anti venum kufanya kazi. Inaaminika ndiye mnyama jasiri kuliko...
  12. shamo

    Yanga msitufanye watoto

    In 21st century timu inategemea pesa ya mtu mfukoni, kweli!? Timu yenye fan base of more than 15m...kweli!? Bado unashindwa kuamini kuwa mtu mweusi ana tatizo la asili kwa meandeleo...eti Yanga haina pesa ya kulipa mshahara of 20 players na 5 stuff... ha ha ha... AFRICA OOH AFRICA...
  13. shamo

    Only in Tanzania:Kilimo chatengewa bil 11 chenye 75% ya wanyonge ndege moja bil 495 Viwanda ni usanii kwa malighafi ipi?

    Unataka Serikali ifanye nini kwenye Kilimo!? Serikali kwani inalima....!?Ama ulitaka itoe matrekta na mbolea bure nchi nzima!? Ama unataka subsidy kwa wakulima!? Kwanza Tanzania kuna wakulima ama subsistence farmers!? Weka hoja vizuri....Sioni tatizo kwa ndege coz in every business there is...
  14. shamo

    ETI NAIPENDA YANGA? VIPI UKO PEMBENI NA UMEICHA IENDE IKAFE YENYEWE ALGERIA

    Yanga ina washabiki zaidi ya million 10, mpeni mzungu timu muone maajabu....tatizo timu inaendeshwa kama gari la mkaa na si kibiashara...hapa ndipo unapojiuliza is born a black a curse!? Hao washabiki wakitumiwa vizuri tuu hiyo can transform kuwa timu kubwa sana Africa ambayo inajitegemea...
  15. shamo

    Mradi wa mwendokasi(DART) unaelekea kufa

    Ukishaona mfumo wa Malipo ya elektroniki umepigwa vita na zengwe mpaka umekufa sasa ni mwendo wa cash basis ujue tabia ya asili ya mswahili imerudi, wizi juu ya wizi....haiwezekani uruhusu pesa kupokelewa kama njugu uone mafanikio. Hapo pesa ni nusu mfukoni nusu kampuni. Duniani kote watu...
Back
Top Bottom