Recent content by shamali

  1. shamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

    Mwanaume kuwa tegemezi ni kumfedhehesha Mungu aliesema 'mwanaume atatafuta kwa jasho'
  2. shamali

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Hahaa kumbe maswali na majibu, sawa sawa
  3. shamali

    JamiiForums Tanzania Tukio la kustaajabisha na kusikitisha kwa mtoto huyu

    Hahaaa mkuu umeathiriwa mno na hiyo kitu ccm
  4. shamali

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa wewe ungefanyaje?

    Hahaa kajifunga vizuri kweli huyo mwanamke.. mtego kidogo tu akajinasa
  5. shamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya babu inanitesa

    Ndoroooooobo
  6. shamali

    JamiiForums Tanzania Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

    Nimeyaingilia wapi.. ushauri wa bure kwa kuwa nna mapenzi nae ila sina ushabiki usiokuwa na tija
  7. shamali

    JamiiForums Tanzania Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

    Ajipange upya.. aache kusikiliza wenye chuki binafsi juu ya maendeleo ya mond.. akubali kujifunza... na kama kipaji hakipo si aache tu.. heee ye naye hachoki kutamkwa midomoni mwa watu, mwe mwe..
  8. shamali

    JamiiForums Tanzania Mi nilijua kutembea na high heels ndio ngumu, kumbe hata kusimama tu ni shida?

    Ugumu uko upande upi hapo?
  9. shamali

    JamiiForums Tanzania Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

    Kufananisha cheketua na nana walah ni kujitaftia ugonjwa wa moyo.. kamwe asilani haiwezi ikaribia nana... hata wewe moyo wako ulishakwambia hivyo
  10. shamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kutoka swazland anahitaji binti

    Jamaa yako ndo nani? :-)
  11. shamali

    JamiiForums Tanzania Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

    Hadi huruma mnavyomnanga mtoto wa mwanamke/mwanaume mwenzenu, kama angekuwa anajitambua kiba angetoaga audio tu akapotezea au video asishiriki kucheza, hajawahi kutoa video ikaendana na wimbo jmn... alitoa video ya mwana, ni bonge la video lkn sio ya kuendana na wimbo hata kidogo.. jamaa...
  12. shamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitampata wapi mwenye mapenzi ya kweli?

    Nipe mimi huo moyo unisaidie kuwapenda kama wewe lakini wewe baki mwenyewe unipe moyo tu
  13. shamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

    Huo mchezo acha haraka sana kabla hujaja hapa kuomba ushauri baada ya jogoo kugoma kuwika mpaka ujidunge hayo maasprini yako
  14. shamali

    JamiiForums Tanzania Post a word starting with the last letter of the previous word

    England
  15. shamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking for a lady friend in Mwanza

    Mza uko pande zipi na unafanyia kazi wapi mtoto mzuri?
Back
Top Bottom