Looking for a lady friend in Mwanza

Looking for a lady friend in Mwanza

Mza uko pande zipi na unafanyia kazi wapi mtoto mzuri?
 
Kwetu watz mtu mwenye kupenda kukitumia kiingereza hata kwa mambo lahisi kama haya tunamwona ni "mshamba" au "limbukeni". Lugha yetu adhimu ya the ni utambulisho wetu nasi twajisikia fahari kujinasibisha nayo.

Sio lahisi ni rahisi mkuu
 
So in short asiyeelewa English hafai kurespond kwa sababu inamaana kwamba hajaenda shule. Nia yangu kuu sio kufikia watu wengi iwekezekanavyo, bali ifikie watu flani, 'target group' and in this case target group ni wadada literate.

Kujua english mkuu sio lazima uwe umeenda shule bana.
Mbona umekuwa Lawino bana umejua English dada zetu wa kijijini huwataki ili wajifunze toka kwako.
Mie ni mshkaji hautaki hata tubadilisheni story za kupiga hela na namna ya kuwekeza ili tukuze vipato vyetu au upo vizuri.kuna mdada anafanya kazi hapo sekou toure na kuna mwanafunzi mmoja mfamasia hapo Bugando ngoja ntakuunganisha naye bana.ili ubadilisheni mawazo na wasomi wenzako.
 
Back
Top Bottom