Recent content by shamajengo

  1. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

    Probably kilichomtoa ni wenye dili za kuingiza nguzo kutoka south Africa..so kuwnzishwa kwa nguzo za zege kumefanya hizi dili zife ndicho amemaanisha mdau Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  2. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Kumbe unaweza kuwa mpweke katikati ya kundi la watu

    Mshana nimejaribu kukufata PM naona kama umefunga au ni simu yangu ? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  3. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Bachelor mimi nimedakwa na mke wa mtu

    Mke wa mtu si kitu cha kusogelea kama unaakili zinafanya kazi vizuri Ukiwaza maumivu unayopata ukuhisi unapigiwa the same applys kwa wengine ..usifanye kile amabcho hupendi kufanyiwa. Binafsi nimewahi fanya ujinga wa kumtongoza mke wa mtu na akakubali ikawa bado kula tu ..ila niliwaza sana namna...
  4. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

    Kumbe tanzania hakuna Corona afu bi mkubwa anasema ipo ..aisee bi mkubwa siyo mzalendo hata kidogo ila magufuli alikiwa jembe kwerikweri ....au nasema uongo ndugu yangu ..msema kweri ni mpenzi wa mungu na razima ukweri usemwe
  5. shamajengo

    JamiiForums Tanzania TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

    Heshima yako bwana kiranga ...
  6. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Maprofesa wanatuchanganya; wakati wa Magufuli walisema hakuna Corona na wakati huu wa Samia wanasema tuchanjwe

    Msukuma ni mfano mzuri wa maskini kufurahia madhila yanapowafika matajiri typical inferior..kuwasodoa wasomi yeye anafarijika sawa kabisa na wale walio kuwa wakishangilia magufuli akinyanyasa wenzake either waliomzidi kipato au kukubalika na jamii.
  7. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sura ya mwanamke aliyesuka
  8. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli ni blinking news[emoji23][emoji23]
  9. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

    This is what I was going to tell him ..aliwahi fanyiwa hivi mtoto wa sister angu kumbe walihitaji ajiunge nao .kama unafanya kazi wanaweza kuja hata mpka kazini kwako just to interview you ...my sister son alifanyiwa hivyo akaitwa lakini alikosea sehemu flani akakosa nafasi.
  10. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

    Mshana kunatofsuti ya mechi na derby ...derby instension Sana inahitaji unakini mkubwa kushughulika nayo leo tff wamezingua aisee mimi na usimba wangu lakini yanga nimewaunga mkono kwenye msimamo wao
  11. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Roho inauma, nimetimuliwa nyumbani kwa fedheha

    What can not kill you makes you stronger ..Mambo ya ndugu yapo hivo na huyo kakusaidia Sana kukufukuza home utakuja kumshukuru baadae ..take this note
  12. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

    Wachache wanakubaliana na hichi kitu lakini a brainwashed mental hawataki na wala hawajaribu kufikiria kitu cha namna hiyo ..nadhani kinachokufanya uwe na amani kama ulivyosema na hata mimi ninavyokuwa kuwa nayo ni kwamba hawa jamaa huruma na wema siyo theory ni practice.
  13. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

    Mkuu kunauzi flani uliandika siku moja wakati nausoma gafla moderator wakaufuta...sijui ntaupataje ...ulikiwa unasema ...sijui kwanini napata amani akitawala...........ni ulikuwa wa kichochezi lakini ulikuwa ukweli mchugu
  14. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    Pamoja mkuu mtafute huyo kwenye hivyo vitabu vyake viwili anza na misgoded then malizia goded ameweka maarifa mengi Sana..anakufanya uwe huru na confident kwenye kuchambua vitu....namsoma bart kwenye misquoting juses then ninalizie the lost christianity... Wanazi wengi wengi wa wa dini...
  15. shamajengo

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli alijua kuwa maisha yake yapo hatarini?

    Kama alikuwa na shida ya moyo particularly mpaka akawekewa pacemaker alikuwa na haki ya kusema tumuombee, amjitoa sakada kwa ajili ya watanzania maana mwenye hilo tatizo na frastrstion ni vitu tofauti kabisa
Back
Top Bottom