Recent content by Shakaliti

  1. S

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, TZ yetu Raisi ndiyo kila kitu!

    Aswaa, Ukweli mchungu huu! Duh!!!
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Amollo Odinga atashinda uchaguzi mwaka huu na kuwa rais wa Kenya

    Issue ni kutangazwa mshindi mazee na siyo kushinda kwa kura:cool:. Kama ni kura anaweza kkupata lakini ikulu ng'ooo...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya reaches out to TZ over stalled EU deal

    Your brain is full of nonsense, siyo Tz! Na ni ngumu sana wewe kujitambua maana hata hujui kuwa unachokitetea hukijui
  4. S

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

    Ok, Kumbe inawezekan hata kama ni miaka mia ijayo. Ugunduzi ktk sayansi haujakoma.bado mambo mengi theories, principles, laws na facts zitaendelea kuja mpya wakati hadi wakati mwingine... Efficiency na economic feasibility hilo litafanyiwa kazi hata kama ni miaka mingi na solution itatokea...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

    Matanzania aiite Tz shamba la bibi tena wakati tupo humuhu??!!! Wa kuiita Tz shamba la bibi ni yule anayetoka nje na kuchuma kilaini na kwenda kuwekeza kwao nje. MTz atachuma hapa na kuendeleza humu Tz na kutoa ajira humu ndani, ukiwa na kinyongo una shida ya asili!!! Ok... Swala la kurudi kwao...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

    Fuatilia historia vizuri kabla ya uhuru wa Tanganyika wakati Nyerere alipoenda UN kutafuta uhuru wa Tanganyika alionana na Mareale akiwa UN pia kutafuta uhuru wa eneo lake lakini Nyerere alimzidi ujanja akadai kuwa uhuru anaoutafuta unahusisha hata eneo lake (Mareale), hivyo uhuru ukatolewa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Aliyeumbuka Nina ni au siyo nani?? Tafakari...
  8. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Kwani nini cha ajabu hapo? Kwani nani alisema kuwa hajiwezi au amekufa? Au hawezi kutokea hadharani? !!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Nani kathibitisha kuwa ilikuwa kweli au ni uzushi! Hii issue bado iko pending. Kesi ya yule kijana vipi? Nini kinaendelea. Dereva wa Dev Mwa yuko?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Pombe Magufuli, ashindwa kutokea kwenye Mdahalo wa Urais wa Tanzania

    Hii inaonesha jinsi waandaaji walivyo dhaifu na wanadharaulika hata na wateja wake sisiem!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Sisiem nao waanze kudeki barabara maana hawaishi kuiga kila kitu baada kuishiwa na ubunifu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais anatakiwa awe mentally Na Physically Fiti

    I means kuanguka anguka jukwaani wakati wa kampeni ilitosha angepimwa kama jd zinahitaji kama udaga....
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais anatakiwa awe mentally Na Physically Fiti

    Yea, fiti kama JK alipokuwa akiingia...!!??? Ds tym ndio umetukaeh???
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    Yea, at work. Clip iko lab ikikamilikaitatupiwa plz
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

    Uongeaji sana wa kiongozi hudhani huwaridhisha watu anaowaongoza kwa maneno matamu na.ahadi za kutamka tu. Kiongozi anayeongea kidogo hufanya vitendo zaidi. Hatutaki gonjera majukwaani zimetosha na hazina tija miaka yote tangu tumeitwa nchi.... reserve this even for your personal performance!
Back
Top Bottom