Recent content by shajagikingu

  1. S

    Bunge la katiba limeendelea kunakesi mahakama kuu, nini Escrow?

    Hovyo kabisa natama kufa tu kama hata mahakama zinashikwa na matajiri tukimbilie wapi sasa
  2. S

    Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    Kweli kaka nakumbuka meli moja Canadian sport miaka ya tisin
  3. S

    Kamanda Kova: Vijana wa Boxer wanatesa Mlimani City

    Polisi uwezowao nikwenyemaandamano tu
  4. S

    Precision inauza ndege zake tano kati ya tisa, watanzania jitokezeni

    Kwanini sisi ambao hatuna ajira typo na tunaishi waje tufanye ujasiliamali hatuna haja ya kuhurumia wahalifu hao
  5. S

    AJALI: Mkuu wa kitengo cha Leseni - Mayfair afa ajalini Kisarawe

    Na ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amen
  6. S

    Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

    Lazima silaha walizochukua situmike ndio maana wemezichukua kwasabubu walikua wanazihitaji watu wa geita, kahama biharamulo chukueni tahadhari sana
  7. S

    Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

    Hii hatari sana majamba kuteka kituo na kufakiwa kuchukua silaha tujiandae na matukio mengine
  8. S

    Tahadhari kutoka Utumishi kuhusu Utapeli wa Ajira na Mikopo

    Kweli hata mimi wamewahikutakakunitapeli wakanielekeza nije hapo utumishi gorofa ya 8 chumba namba 8
  9. S

    Samaki wa Magufuli waitia Serikali hasara

    Du haya majanga sasa bora wasingewakamatu walipa kodi tujiandae
  10. S

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Ilikuwa poa sana
Back
Top Bottom