Bunge la katiba limeendelea kunakesi mahakama kuu, nini Escrow?

Bunge la katiba limeendelea kunakesi mahakama kuu, nini Escrow?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
shame mahakama kutumika vibaya kumefanyasasa kuaminindiomaana wabeba madawaya kulevya awafungwi,,wenye menoya tembo wanaachiwa

Hawamajaji niwahuni washenzi,...mahakama hii hii iliamuru bunge la Katiba kuendelea ikijua kuna kesi mahakamani iweje escrow
Wakimbizane kusimamisha kujadiliwa

Shame shame

Bigup ester bulaya
 
mahakama kwa nchi za dunia ya 3 zipo kufunga masikini tu si wenye pesa.

zitafanya kila njia kuwabeba wenye pesa ata wasijadiliwe tuhuma.
 
Upumbavuuuu mkubwaaaas na wazirimkuu bilaaa aibuu analiliia mahakama iheshimikeItendewehakii shame
 
Haoni aibu upuuz km a huu
 
Hovyo kabisa natama kufa tu kama hata mahakama zinashikwa na matajiri tukimbilie wapi sasa
 
shame mahakama kutumika vibaya kumefanyasasa kuaminindiomaana wabeba madawaya kulevya awafungwi,,wenye menoya tembo wanaachiwa

Hawamajaji niwahuni washenzi,...mahakama hii hii iliamuru bunge la Katiba kuendelea ikijua kuna kesi mahakamani iweje escrow
Wakimbizane kusimamisha kujadiliwa

Shame shame

Bigup ester bulaya

Ndio maana baada ya kupata katiba mpya Kenya waliweka kipengele kuwafanyia vetting majaji na ma hakimu wafawidhi wote ili kuondoa uozo kwenye mahakama. Wasiokubalika wamestaafishwa ili kuanza upya. Hao waliochukua hela ya IPTL hapa kwetu wangeondoka na maji
 
shame mahakama kutumika vibaya kumefanyasasa kuaminindiomaana wabeba madawaya kulevya awafungwi,,wenye menoya tembo wanaachiwa

Hawamajaji niwahuni washenzi,...mahakama hii hii iliamuru bunge la Katiba kuendelea ikijua kuna kesi mahakamani iweje escrow
Wakimbizane kusimamisha kujadiliwa

Shame shame

Bigup ester bulaya
Maneno makali sana lakini nadhani hakuna msamiati mbadala wa kuwataja hawa wazandiki. Ndio maana Mh. Tundu Lissu nae kashindwa kujizuia na kita 'toilet paper' ndani ya sehemu tukufu!
 
Ivi mahakama na bunge chombo kipi chenye nguvu naombeni jibu wana jf.

Yote ni mihimili ya taifa, Yote ina nguvu sawa (balanced). Hivyo hakuna chenye mamlaka dhidi ya kingine zaidi ya kufanya check and balance tu!
 
Back
Top Bottom