Recent content by shahid shabir

  1. S

    Nataka kusoma lakini wazazi wangu hawana uwezo wa kunisomesha

    Kwanza pole sana mdogo wangu, ila kumbuka kwa kiswahili kuna msemo mmoja "mbuyu pia ulianza kama Mchicha" au kwa kimombo wanasema Every boss started as a worker. Sioni sababu ya wewe kutamani kufa. Mitihani is part of life unapoesema unatamani kufa its wrong unamkufuru mungu. The only thing I...
  2. S

    Transport infrastructure in Kenya

    Usiseme someday... Sema vision 2080 au vision 20 some century to come[emoji23]
  3. S

    Chuo cha Kenya chamsifia JPM

    You are not doing anything unless someone praises you... Sifa sahihi nikusifiwa na sio kujisifu... Napita tu...
  4. S

    SUMATRA mko wapi?

    Tazara
  5. S

    SUMATRA mko wapi?

    Hamna umbea hapo... Nimemsikia Konda anatangaza wakati nilienda kupanda kumbe nikashushwa kusikia jet
  6. S

    SUMATRA mko wapi?

    Gari ya masaki inapakia kwenda jeti rumo... Eeeee serekali wapi mnakoenda? Kipi hasa mnachokifanya jamani wahusika mko wapi????
  7. S

    SUMATRA mko wapi?

  8. S

    Hadi bajeti ya Tanzania, Uganda na Rwanda ziunganishwe ndio zifikie ya Kenya

    Tatizo tanzania hatufikiri tunachopenda ni copy and paste lakini tunasahau not everything can be copied and pasted serekali yetu inastahili ikae itulie ifikirie inakotaka kuelekea. Mind you itafikia point ambayo kila MTU ataanza ujambazi. 'Eti BUDGET' Budget gani isiojua kutizama hali ya...
Back
Top Bottom