Usisahau kwamba serikali ya Uhuru Kenyatta (Jubilee) ya huko huko Kenya imemsifia kwa jitihada zake za kufadhili UPINZANI nchini humo. Hongera sana kwa kupambana dhidi ya democrasia ndani ya Afrika Mashariki.
Hawajui kuwa Watanzania bado tunautazama uongozi huu kwa jicho la tahadhari. Wapo wanaohoji sababu za teuzi nyingi kuangukia kanda moja, wapo wanaohoji uvunjaji wa misingi ya demokrasia, wapo wanaohoji kufinyangwa kwa mamlaka ya Bunge, n.k. Hatuwezi kufurahia utendaji mzuri katika jambo moja huku 10 yakiharibiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.