Recent content by shahazady mustafa

  1. shahazady mustafa

    Bunge lasitishwa ghafla baada ya king'ora cha tahadhari kulia, wabunge watimua mbio

    Daahhh nmeshangaaa mpishano wa mbio za wabunge kama wapo kitaa hivi kama kumetokea moto au bunge lmevamiwa.... Updates tafadhari. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. shahazady mustafa

    Nawasihi mnaoingia JamiiForums kama "guest" mjisajili mtoe maoni

    Tatzo lnakuja wagen hawapew kipaumbele kwa threads zao wanapo zpandisha humu no more quote or reply......... Kampani ya members ni muhimu sana..... Sote ni watoto wa baba mmoja jaman. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. shahazady mustafa

    Serikali: Tundu Lissu alishindwa kujibu maswali ya BBC, aliishia kubabaika tu

    Halafu kwa sasa wanaztafutia soko la kusafirisha samaki. Ova!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. shahazady mustafa

    Rais Magufuli, kesho anatarajiwa kukabidhi Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA

    Mzee wa matamko ya dharula/ghafla..... Ukitamka hivi walah nami nitajikongoja kukupigia kura awamu zifuatazo,,,. "Natoa wito kwa mamlaka kufungulia channel zote zilizo zuiliwa kwenye ving'amuzi vifuatavyo na pia hawa waruhusiwe kuonesha taarifa ya habari" Sent using Jamii Forums mobile app
  5. shahazady mustafa

    Muitikio wa maandamano ya leo katika mikoa kadhaa, unakupa picha gani?

    Daaaa!! Maagizo kutoka juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. shahazady mustafa

    Muitikio wa maandamano ya leo katika mikoa kadhaa, unakupa picha gani?

    Na hapo unakuta kuna kundi la watu hawana ajira, hawana elimu na hawajui nn maana ya kikokotoo.. Ila ameunga folleni eti ameandamana. Dhambi zingne ni mpya (Brand New Sins) na hazitasameheka. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. shahazady mustafa

    Huyu mwanamke ameniroga,,,

    Oh maskini wee.. Tayarii...!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. shahazady mustafa

    Tuzo Points za Vodacom ni magarasa, faida yake ni ndogo sana

    Hahahaaaaa.... Hapo ukiangalia ile video ya wema ni akiba jamaa baada ya kula hotelini akajikuta hana wallet yake kama nakuona wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. shahazady mustafa

    Tuzo Points za Vodacom ni magarasa, faida yake ni ndogo sana

    Soma maoni yangu hapo juu nmeelekeza namna ya kuifanya pesa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. shahazady mustafa

    Tuzo Points za Vodacom ni magarasa, faida yake ni ndogo sana

    Bonyeza *149*01# OK Chagua no 10 tuzo. Kisha chagua 1 tuzo point Kisha chagua 2 vuna point Kisha chagua 3 hamishia kwenye m-pesa Hapo utaweza kuona thamani ya hizo tuzo zako 14000 in cash kisha utaweka kiasi hicho na tayari pesa itahamia kwenye akaunti yako ya m-pesa. Sent using Jamii Forums...
  11. shahazady mustafa

    Unaanzaje mwaka ukiwa na pesa za mwaka jana?

    Hapana mkuu Nimejaribu kufuata vifungu vitakatifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. shahazady mustafa

    Tuzo Points za Vodacom ni magarasa, faida yake ni ndogo sana

    Syo promo ni real sema tu ukubwa wako wa kufanya huduma/miamala na kuweka vocha ndo unapata mkwanja mrefu. Mimi binafsi nimeifaidi saana, masuala ya 5000, 10,000 kuhamishia kwenye simu yangu ilikuwa kawaida sana japo kwa sasa hatupewi wanawapa wateja wa kawaida. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. shahazady mustafa

    Unaanzaje mwaka ukiwa na pesa za mwaka jana?

    Unaanzaje nwaka ukiwa na mambo ya mwa jana, mwaka mpya na mambo mapya bwana. Mnaogopa nini wakati na vitabu vitakatifu vinasema,, "yakale yatapita na tazama yatakuja mapya". Sent using Jamii Forums mobile app
  14. shahazady mustafa

    KFS (Kwese free sport) Kwese Tv + TV10 Live on azam Tv

    Kweli kabisa.. Mdogo mdogo tutafika tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. shahazady mustafa

    Kwanini watendaji wa chini wanapinga maagizo ya raisi john pombe Joseph magufuli? P.o box Nyakanazi biharamulo kagera.

    Nawaza sana, kama maagizo kutoka juu ndivyo ilivyo kuhusu vitambulisho vya wajasiriamali,, kuwa kuna daftari la kuwaandika wajasiriamali kwanza na kwa muda maalumu na kisha daftari hilo kupelekwa wilayani, kwa madai ya kuwa wamemaliza kuandika na wakati eneo la biashara watu wanaingia kila...
Back
Top Bottom