KFS (Kwese free sport) Kwese Tv + TV10 Live on azam Tv

shahazady mustafa

Senior Member
Oct 1, 2018
110
56
Heri ya siku ya ukimwi duniani wadau, mm leo nmeamka tu ile npo kazn basi nkawa nacheck check channel mpya kwenye kisimbusi changu cha Azam. Mara paap kwese Tv hiyo hapo, kusogeza tena mara Tv10 hiyo hapo kwaajili ya burudani.

Naomba kujuzwa zaidi, kwetu wapenzi wa kandanda Kwese Tv inaonesha mechi gani/league gani?

Tv10 yenyewe pia sjui ya wapi ila naona full burudaniiiiiii hadi najisahau kuiuliza itokako.

Azam Tv, Burudani kwa wote.
 
Hiyo Tv10 inaonyesha burudani za aina gani? Mwezi wa faida kwa wamiliki wa visimbuzi ndiyo huu!
 
Back
Top Bottom