Kwanini watendaji wa chini wanapinga maagizo ya raisi john pombe Joseph magufuli? P.o box Nyakanazi biharamulo kagera.

shahazady mustafa

Senior Member
Oct 1, 2018
110
56
Nawaza sana, kama maagizo kutoka juu ndivyo ilivyo kuhusu vitambulisho vya wajasiriamali,, kuwa kuna daftari la kuwaandika wajasiriamali kwanza na kwa muda maalumu na kisha daftari hilo kupelekwa wilayani, kwa madai ya kuwa wamemaliza kuandika na wakati eneo la biashara watu wanaingia kila siku na huo ni mfumo wa kukusanya kodi na siyo msaada kwa mjasiriamali.

Nauliza tu maana mtu wa chini anaumia chini chini.
 
Back
Top Bottom