Recent content by shago

  1. S

    INAUZWA Sofa linauzwa

    Ongeza 20 uje ulichukue
  2. S

    INAUZWA Sofa linauzwa

    Ongeza 20 njoo chukua
  3. S

    INAUZWA Sofa linauzwa

    Ongeza kidogo mkuu
  4. S

    INAUZWA Sofa linauzwa

    Kiwalan boss
  5. S

    INAUZWA Sofa linauzwa

    Sofa lina mwezi Bei 130,000/= 0716230633 Dsm nipo Karibuni maboss zang Simu ziite hatushindwani
  6. S

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional: welder Experience: 5 years Location: dar es salaam
  7. S

    Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

    Ukiwa km kijana ni kutoa aibu ktk kutafuta tusichague sana kaz iasee miez miwil nyuma ajira yang ya muhindi iliisha gafla tu aisee nilikuwa sijui naanzia wap naishia wap,nikauza simu laki na 50 nikatafuta eneo lenye muingiliano wa watu weng, nikafungua kijiwe cha kukaangaa mihogo nikapambana km...
  8. S

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Habar za kishamba unaleta izo aisee,ajal mda wwote tu ule acha watz wafurarah maisha na safar za usiku hasa wafanya biashara imesaidia sana pia imetoa ajira nying sana kampun zimeongeza mabus drivers wamepata shavu conductors pia wakisitisha watu wataenda wap maana safar zitapungua kutokana na...
  9. S

    Maswali kwa wakristo wote humu karibuni kujibu

    Aliemuokota ni mke wa firaun bi asia na sbb y kutupwa mtoni ni kuwa firauni alikuwa anauwa watoto wakiume wanabak wakike kwa hofu ya kupinduliwa madaraka yake.ndio allah akamwambia amtupe mton huku dada ake na musa akifatilia kile kikapu na kikaingia ndan ya jumba la firaun lengo na makusidio ni...
  10. S

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Utengenezaji wa hivo vipodoz na sabuni jpo na idea juu ya sabun iz za vipandae
  11. S

    Ushauri wa biashra nzuri ya kufanya Dar es Salaam

    Nenda masoko makubwa yenye population ya watu weng mfno ilala,bugurun ,sterio,mabibo nk tafuta sehem mbel ya duka la mtu umlipe per day kaanga mihogo mixa kachumbal ya pili pili nzur ,kuwa msafi pia andika na kibao wek namb ya simu unafanya deliver kwa eneo ndan ya soko ,zingatia hili usaf .
  12. S

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Napenda sana ujasiriamal na kujifunza hiv vitu. Km hutojali naomba kujifunza huu ujasiriamali ndug
  13. S

    Hivi ni hapa Dar tu ndio jua linapiga kiasi hiki au ni Tanzania nzima?

    Sema vile vilima wakat wa mvua kupanda na kushuka na boda dah
  14. S

    Hivi ni hapa Dar tu ndio jua linapiga kiasi hiki au ni Tanzania nzima?

    Huko jua na mvua kwa siku zinapokezana
Back
Top Bottom